Mwanamke hana ziada

Mwanamke hana ziada

BioPsychologist

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
723
Reaction score
1,019
Moja kwa moja kichwa chajieleza, tafiti mbalimbali zinasema mwanamke akipenda amependa kweli huwa habakishi ziada. Hii ni kweli kiasi cha kutoka na mm nimeshuhudia mara kadhaa. Kwa hili nawasifu sana.

Kinyume chake mwanamke hana ziada akikuacha, at least wanaume tunaweza kuwazawaza lakini wanawake mkiachana anaandaa na matusi kabisa. Yaani hana ziada anamaliza hasira zote au anamaliza UPENDO wote akipenda.

Ukiona mwanamke ana ziada basi kuwa na mashaka na UPENDO wake!

Wasalaam!
 
Back
Top Bottom