October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,631
- 5,023
Kumbe kuwa na demu mmoja jau sana yaani jitu unalibembeleza yeye tu kilasiku yaani jumba kubwa nalala pekeyangu week nzima mpaka wakina Annabele na The NuN wanitokee.
Lenyewe linaringa hilo naliacha leoleo.
Lenyewe linaringa hilo naliacha leoleo.