Wana MMU, bila shaka mko poa,
Mwenzenu ninataka kumuweka shemeji yenu ndani mwezi wa 12 mwaka huu, tumekubaliana harusi ya gharama ndogo ila sasa kijana wenu sijui makadirio ya harusi ndogo ya...
Kuoa mapema kwa kawaida hapa bongo tunaongelea kwenye 20 - 26 au hata kama ulikua beyond 30 tupe ushuhuda wanajukwaa hali yako ya kiuchumi ilikuaje wakati unaoa na baada ya kuoa.
Pia, unafurahia...
Wanaume tukumbuke hakuna tuzo ya mgegedaji bora. Wapo waliojipa tabia kama ya mbwa; yaani unakuta mtu hakubali mwanamke kukatiza mbele yake, iwe ni mke wa mtu au la, lazima atongozwe!! Bad enough...
Nawasalimu dada zangu nyote popote mlipo, amani iwe pamoja nanyi.
Mimi mdogo wenu nimeamua kuchukua maamuzi ya kukuandikieni barua hii baada ya kuguswa na magumu ambayo mmekuwa mkiyapitia ambapo...
Jamani najikuta nipo kwenye mahusiano ambayo ni haramu kwa sasa hayafai ata kutambulisha ndugu. Nimepata mwanaume mwislamu jamani japo ana mapenzi yote ila ili, suala linanipunguzia hata hisia za...
Nina mke na watoto wawili mmoja ni kichanga wa miezi 3.
Sasa basi,ipo changamoto inayonikabili kwa mimi na mwenza wangu mara zote kila niwapo katika kubangaiza kwangu kwa ajili ya kupata chochote...
Kila anayechumbia anakuwa na malengo na mipango yake na sifa alizojiwekea kuwa lazima nioe au nioelewe na mtu mwenye sifa kadhaa!!
Je unaweza kumuacha mtu wako kisa maneno ya wanaosema hata kama...
Tuzungumze
Hivi wake za watu wawe matajiri au masikini, wawe wamesoma au hawajasoma, weupe au weusi, wanasali na kuswalia au hawasali, vijana au wazee wamekuwa katika usaliti mkubwa sana
Hivi...
Mahusiano mengi yanavunjika kutokana na kutokujua nini kinatakiwa kwenye mahusiano. Wengine wanaamini kuwa kwenye mahusiano ni kuvaa sare, kuwa kwenye usafiri mmoja, kuwaaminisha watu wa nje kuwa...
Wakuu bila shaka hamjambo!
Kuna mzee kaniambia kijana siku hizi ndoa zenu mkigombana mwezi unaisha hamjapatana. Hii ni ajabu sana. Nikamuuliza kwa nini mzee, akasema tatizo ni aina ya nyumba na...
Habari ya jioni wakuu,niende moja kwa moja kwenye mada. Nipo katika harakati za kuoa miaka miwili ijayo ila cha kushangaza huyu mwanamke anadai kuwa nikimuoa, itabidi na mimi nishiriki kazi za...
Habari za saa hizi wana JF ni matumaini yangu mu wazima, kama kichwa cha habari yenyewe kinavyojieleza, binafsi nitoe stori yangu na nikaribishe wadau wengine nao waelezee zao.
Ilikuwa mwaka...
Lazima ujiulize kwa nini kosa la mwanaume wako limekuwa sugu. Mara nyingi kosa la mwanaume huwa sugu na huona unaonewa ama kutendwa sana, lakini pale unaposhindwa kusamehe ndipo hapo kosa huanza...
Salaam kwenu wakulungwa
Baada ya kuishi kwenye mahusiano na mama watoto wangu kwa miaka 8 bila ndoa nimefikiria kufunga ndoa ya kiserikali. Nimeamua hivi ili kila mtu anendelee na imani yake kwa...
Salam.
Hivi wakuu kuna jambo hili
Unagundua mzazi anakusema pembeni kwa watu wa nje ya familia yenu, utasikia "fulani huyo kwani huwa ana akili?" Huyo huwa ni mpuuzi tu,
Ukizingumza naye...
Tahadhari,
Sio vibaya mpenzi anapatikana popote lakini kuna baadhi ya mazingira yatakuja kuakisi hatima ya maisha yenu hapo baadae.
Chukulia mke umempata bar ulipoenda kupata moja baridi moja...
Kuna wakati ambapo unakataa hisia za mtu kwa sababu hujavaa viatu vyake. Hii inasababisha azidi kuchanganyikiwa zaidi hata kama ana akili njema.
Wakati mwingine unaweza kujifanyia jambo hilo...
Jana nilivuta demu geto, so tukaangalia movie then nikaenda zangu kuoga ili nijiandae na kulala. Wakati wakulala Mimi huwa hutumia dakika 3 tu nakuwa nimesha maliza, akauliza ndo nini mbona...
Happy,
Ulinipenda kutoka moyoni. Zaidi ya Mara 4 nilikwambia sikutaki lakini nilirudi mwenyewe ukanipokea tena. Nilikusaliti Mara 3 na rafiki zako uliishia kulia na kunisamehe
Happy hukuwahi...
Habari gani Watanzania wenzangu.
Naomba wadau mnisaidie ushauri wenu maana nipo njia panda. Mimi ni kijana umri miaka 30. Nina wanawake (mademu) wawili ambao nawapenda sana na kila mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.