Natafuta Mwanaume mtu mzima ambaye yupo serious anayetaka kuoa

MysweetL

JF-Expert Member
Jan 31, 2020
314
340
Mimi ni Mwanadada naishi Kaskazini, kabila Langu ni Mmasai na nina umri ambao nitayari kuolewa nakuwa na mume. Sifa zangu mimi ni mpole na pia napenda kuwaheshimu watu wote.

Mimi ni muelewa na pia napenda nipate mtu ambaye anajiheshimu sana na anayetaka kutulia. Kweli nahitaji mtu mchapakazi napia muelewa sana. Naanayejieshimu sana na asiyependa matusi.

Namcha Mungu. Elimu atleast awe kapita O level

Awe mkimya micharuko sipendi.

Kingine nawatakia wakati mwema.
 
Ungetupia kapicha , wanaume wanapenda
Mimi ni Mwanadada naishi Kaskazini kabila Langu ni Mmasai nanina umri ambao nitayari kuolewa nakuwa na mume .
Sifa zangu mimi ni mpole na pia napenda kuwaheshimu watu wote .
Mimi ni muelewa na pia napenda nipate mtu ambaye anajiheshimu sana na anayetaka kutulia.
Kweli nahitaji mtu mchapakazi napia muelewa sana .
Naanayejieshimu sana na asiyependa matusi .
Namcha Mungu.
Elimu atleast awe kapita O level
Awe mkimya micharuko sipendi.
Kingine nawatakia wakati mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utapata ila tatizo principle moja ya kutafuta mwenza unaikeuka.

Ni ileee isemayo "usitangaze sifa za mpenzi umtakae"

Kwa sababu ukitangaza watajitokeza wengi waigizaji ili wakupate wakuingize king.

Tafuta kimya kimya utampata umtakae kwa sababu hakuna anayeigiza pale akijua hafuatiliwi na mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa
 
Hiyo principle huku kwenye ulimwengu wa online haiwezi apply, ni lazma aweke vigezo ili wajitokeze watu kadhaa awafanyie screening kama wanakidhi vigezo ama la.
 
Safi sana. Una shughuli gani inayokuingizia kipato?
Mimi ni Mwanadada naishi Kaskazini kabila Langu ni Mmasai nanina umri ambao nitayari kuolewa nakuwa na mume .
Sifa zangu mimi ni mpole na pia napenda kuwaheshimu watu wote .
Mimi ni muelewa na pia napenda nipate mtu ambaye anajiheshimu sana na anayetaka kutulia.
Kweli nahitaji mtu mchapakazi napia muelewa sana .
Naanayejieshimu sana na asiyependa matusi .
Namcha Mungu.
Elimu atleast awe kapita O level
Awe mkimya micharuko sipendi.
Kingine nawatakia wakati mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom