Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wakuu, Nina ndugu yangu ambaye ni binti mzuri na anaakili vizuri na uwezo mzuri sana wa kufikiria. Anatatizo la mdomo kunuka ila yeye mwenyewe hajui kama anahilo tatizo. Mimi huwa...
4 Reactions
48 Replies
6K Views
"Nimeinama nawaza ikiwa mke wangu atafahamu jambo hili itakuaje? Mama yake amekataa kabisa kutoa mimba yangu na ni mwezi wa tano huu. Anasema umri wake umeenda hawezi toa mimba na pia anashukuru...
10 Reactions
125 Replies
36K Views
Wakuu mi ni kijana nimeathilika na vidogo vya kuongeza nguvu ya kiume kwa mda uleule ufanyao tendo ilo nina miaka karibu 3 tka niaze kutumia mwaka huu nimeona ni bora niache sasa tatizo lipo...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Nakumbka mwaka 2001 nilianza shule ya msingi huko kijijin kwa Bibi yangu nilikuwa sijui kusoma Wala kuandika nilipofika darasa la pili nilianza kuelewa na mwishoni mwa mwaka ili niingie darasa la...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Hatimaye last week nilisitishwa kuendelea katika nafasi ya upendo kwa binti mmoja Kisa sijui ni nini haswa lakini nilipewa announcement usiku kuwa kuanzia sahiv umepewa suspension kwa muda usio...
17 Reactions
78 Replies
7K Views
These days ladies get pregnant without being married while some even get divorce after getting married with children. But the question is can you get married to a woman with child? Most people...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Habarini ndugu zangu, kwanza poleni na mihangaiko yote ya hapa jukwaani, Kwa majina naitwa Shukuru ni mkazi wa Misungwi nina umri wa miaka 35. Katika harakati zangu za kutafuta maisha nilipata...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
habari zenu wadau Leo nikiwa nipo free sina ishu ya kufanya nilienda zangu maeneo ya Kisiju Pwani kuangalia shamba langu la hekari takribani 40, pembeni ya shamba hilo anaishi mzee mmoja makamo...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Nilisikiliza BBC London wakatangaza wanataka Waingereza kuingiza mtaala wa mapenzi kuanzia shule za msingi. Na chuo kikuu cha Dar es Salaam ktk kozi ya DS (Developing Study). Niliyosoma first...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimesikia Habari za Chuo cha Utumishi Tanga, Vijana wamezichapa hadi mmoja akaaga dunia kisa binti Sauda Hussein waliyekuwa wanachangia kimapenzi. Bado najiuliza huyu Sauda alikuwa na utamu kiasi...
26 Reactions
157 Replies
11K Views
Huyu X wangu naona ana ni enjoy. Mimi simtafutagi mara nyingi ananitafuta yeye akituma text mimi na reply ila nikimtumia text anapuuza anajibu kwa kujisikia. Ni whatsApp mtu si unamwona tu online...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari! Nahitaji mwanamke wa maisha umri wangu ni miaka 32 nimejiajiri dini yangu ni mkristo Nahitaji mwanamke mwenye umri wa miaka 23-26yrs , mwenye kujua nini maana ya familia . Sichagui dini...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Mm ni mwanaume mwenye umri wa 30 yrs (jina kapuni na mkoa kapuni) Nimeoa 2019, yanayonikuta ni kwamba napenda sana kusex yani tukitoka tu job kabla hata hatujaoga Mzee...
6 Reactions
122 Replies
19K Views
Habari wakuu na heshima kwenu mabaharia wote waongoza njia na wajasiri wapambanaji. Niliwahi kuishi na dada mmoja wa kinyiramba ambaye alikuaga mpenzi wangu wakati nipo Advance Level yeye yupo...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Its already weeknd twende direct kwa mada, pesa ni kama nguzo kwenye nyumba, pesa ni muhimu kwenye kuimarisha mapenzi/mahusiano why nasema hivi? Twende kazi... Sometimes unataman sana kumfanyia...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Siri ya kudumu katika mahusiano ya ndoa Zipo changamoto ambazo zinazosababisha ndoa nyingi kufa. Hata hivyo kufa kwa ndoa hizo husababishwa na vitu vidogovidogo ambavyo watu wengi wamekuwa...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Kufwatia mwenendo mbovu wa dada yetu wa kazi jana nikiwa nimeshinda muda mwingi nyumbani nilijikuta nimepatwa na hasira nikaamua kumwadhibu. Kwa siku za hivi karibuni amekua...
3 Reactions
172 Replies
16K Views
Hii ilinikumba 2016, nikiwa chuga! Huyu dogo nilimwopoa through Social Media tukajenga mazoea coz tulikuwa tunachat daily! Nikampanga weekend tukakutana town, tukakaa somewhere akala viepe yai...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Natumai hamjambo wana jamvi. Wakuu watoto wengi wa nje ya ndoa akiwemo mwanangu, ndugu, majirani na marafiki ninaowafahamu wengi wana akili sana. Jambo hili nimeli-experience muda mrefu, japo...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Wanawake wengi wakiwa na nyege huwa hawasemi kwa uwazi badala yake husema kwa ishara. Mfano ukirudi toka job ukapokelewa kwa bashasha na ucheshi kuliko kawaida then ukapata care ya kipekee ujue...
4 Reactions
55 Replies
30K Views
Back
Top Bottom