Mary! Mary! Ulinichinjia baharini leo unanitaka

Mary! Mary! Ulinichinjia baharini leo unanitaka

Kichochoro

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
1,135
Reaction score
1,168
Nakumbka mwaka 2001 nilianza shule ya msingi huko kijijin kwa Bibi yangu nilikuwa sijui kusoma Wala kuandika nilipofika darasa la pili nilianza kuelewa na mwishoni mwa mwaka ili niingie darasa la tatu niliweza kutambua baadhi ya herufi na hatimaye nilielewa kusoma nakuandika vizuri.

Nilipofika darasa la tano nilitokea kumpemda dada mmoja jina anaitwa Mary lakin cha ajabu sikuweza hata kumtongoza kwa kuwa akili niyakitoto lakin nilikuwa nipo tayar kwenda darasa jingne kuiba kalamu na karatas ili tu nimletee Mary

.nakumba siku moja baba yangu alinitumia pesa ilikuwa sh elf 5000/ ili ninunue daftar lakin Cha ajabu hela yote nilienda kumnunulia Mary maandazi na karanga aise hyu bint alikuwa mrembo shule nzima.

Nilikuwa tayar kufanyaje chochote ili tu Mary nimulizishe Kuna siku moja nilienda kuuza duka la mjomba pale kijijin akaja Mary kununua mafuta ya kupikia huwez Amin Mary nilimpatia Hadi viongo vya mboga.

Sasa Kuna siku nilimwandikia barua ya mapenzi nakumbka ilikuwa usiku na kesho yake ilikuwa siku ya shule jumatatu.ni kweli nilimpatia lakin majibu yake ya barua niliyoletewa anasema Mary Ana mtu mwingne ambaye ninasoma naye darasani.

Haya maisha ya utotoni wakati mwingne ni kutiana umasikini tu leo ni miaka kumi mbili sijawahihata kuona Mary juzi Kati nilikuja kupata namba yake kutoka kwa mdau fulani alahaula nilimpigia simu Mary alifurahi Sana nakuniahidi kumbe alipotea njia mwanaume aliyemuoa alishamzalisha watoto watatu na wameshaachana naye na aliniomba Kama nitaweza kumpa nafs kwangu yupo tayar kuolewa mke wa pili! Nilichema kea sauti nakusema maisha hubadilik!

Mary Mary sitokusahau wewe niwamaisha yangu ya utotoni
 
Sasa ulitaka akukubalie wakati ana mtu mwingine Mkuu?

Sema na nyie mlianza mambo ya mahusiano wadogo sana yaani shule ya Msingi???
 
Duuu std 5 ulikua ushaanza hizo mambo?
Anyway umekosea jukwaa peleka huko MMU.
 
Sasa ulitaka akukubalie wakati ana mtu mwingine Mkuu?

Sema na nyie mlianza mambo ya mahusiano wadogo sana yaani shule ya Msingi???
Dada alikuwa mrembo shule nzima!
 
😂😂
Ukistaajabu ya Musa...
 
mchukue tu,utaongeza na watoto wako 3 uwe na watoto 6 kwa jumla
 
Wewe upo 20's, yan ulivocall attension za watu kusoma uzi wako alaf kumbe ni wa reception kabsa. Mods jaman kuna uzi huku nadhan utawafaa.
 
Sasa ulitaka akukubalie wakati ana mtu mwingine Mkuu?

Sema na nyie mlianza mambo ya mahusiano wadogo sana yaani shule ya Msingi???
Unaweza ukasema ni masihara ila wakati mwengine hivi vitu vipo Sana hasa sisi tulioanzia makuzi vijijini,binafsi nikiwa darasa la pili 10 years kabla balekhe nishaanza vurugu na nakumbuka vizur tu ,ila daa haatari Sana now 40+ nakumbuka meng mapito ya utoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom