Trial balance
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 202
- 160
Huyu X wangu naona ana ni enjoy. Mimi simtafutagi mara nyingi ananitafuta yeye akituma text mimi na reply ila nikimtumia text anapuuza anajibu kwa kujisikia. Ni whatsApp mtu si unamwona tu online, sasa hivi nimepanga akinitumia tena text siifungui nai click nadelete najua hafikishi wiki atatuma tu text na mimi nataka kumuoneshea kwani.