Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Usijiachilie kupata huzuni, Wala usijiumize mwenyewe kwa makusudi. Furaha ya moyo ni uhai wa mtu; furaha ndiyo inayompa maisha marefu, Jifurahishe na kuwa na utulivu wa moyo, weka huzuni mbali...
18 Reactions
45 Replies
3K Views
Kama kuna watu ni kauzu basi huyu nimemkubali! Baada ya kuachana na mke wake kwa talaka hii Njemba imedai kuwa irejeshewe Figo ambayo aliitoa akawekewa aliyekua mke wake huyu. Anasema jamaa...
1 Reactions
62 Replies
6K Views
Kwa wanandoa mliomaliza ama mnaoenda kufanya tendo hili, sisi tuliohamishiwa wake Dodoma tumwachie Allah. Wanandoa wengi wanapofika muda wa kupeana wanapeana kwa hasira na mwingine mwenzie...
1 Reactions
4 Replies
801 Views
Kuondokana na hisia za mapenzi dhidi ya mpenzi uliyetokea kumpenda sana lakini mkaachana katika mazingira ambayo hukuyatarajia, si jambo rahisi na hasa kama wewe ndiye uliyeachwa. Unaweza...
5 Reactions
25 Replies
53K Views
Kuna watu kama wanne hivi wa karibu ninaofahamiana nao, hao wanaume aisee wako vizuri kifedha, wana nyumba wana magari mazuri ya kutembelea na biashara wanazo zinazowaingizia pesa mingi. Sasa...
5 Reactions
108 Replies
9K Views
Mmeoana mkiwa mnapendana kwa dhati, mapenzi motomoto. Baada ya miaka kadhaa ukajikuta huna hisia kabisa na mwenzi wakoje kimila kidini au kisheria unaruhusiwa kumwacha? Nipo kitandani muda huu...
9 Reactions
87 Replies
9K Views
Si ajabu ndio wanaoongoza kwa kuolewa. Hakuna mwanaume anaejielewa amuoe mwanamke wa hovyo hovyo kisa ana sura nzuri. Nyie wenye sura nzuri msipojirekebisha mtaishia kudanga tu. Samahani...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Kizazi cha ngono isiyo na mipaka yaani mpaka kizazi hiki wamewavua nguo wazazi wao mama zao na bibi zao, leo hii si ajabu kukuta katoto kadogo kanafanya ngono na mzee sawa na baba yake. Mbaya...
0 Reactions
3 Replies
723 Views
Mm nikijana mwenye umri wa miaka 30 nipo Zanzibar kama yupo alotayar kuolewa mm nipo tayar kuoa vigenzo vyenginevyo Muislam Mrefu Mwembamba Half cast Nywele ziwe black na ndef Muajiriwa au mfanya...
2 Reactions
2 Replies
765 Views
8 MISTAKES OF MANY AFRICAN MEN IN MARRIAGE Lots of African Men are making mistakes in their Marriages, this is making life difficult for their wives and Children. We need to examine this and...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu, Nilimuoa April 2011. Kabla ya hapo tulikuwa na uhusiano kama mwaka m, alikuwa ni virgin na hakutaka kushiriki tendo la ndoa hadi tulipooana, ni mzanzibar ana maadili ya dini kiasi. Kwao...
3 Reactions
93 Replies
17K Views
Five things everyone with a vagina should know By Paula McGrathHealth check, BBC World Service There are many false myths on social media about vaginas, and one woman has made it her mission to...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
1. Been Excessively Jealous: Been a little jealous is okay, its okay to be jealous because to some been jealous proves their love, but when it's in excess it becomes annoying because too much...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimesikia mwanaume akimpenda mke wake ndani hata kama ata cheat on her nje ni kwa sex pleasure tu lakini feelings zitakuwa kwa mke wake. Wanawake wanacheat kwa feelings, akiamua kukitoa basi...
13 Reactions
306 Replies
31K Views
Hapa ninamaanisha kufilisika/kufulia, kukosa uhakika wa kupata angalau chai kwa siku, kutengwa na ndugu. Kukosa kazi muda mrefu, kuugua na watu kukutenga, kukosa kodi ya nyumba/mahali pa kulala...
29 Reactions
442 Replies
79K Views
Natumai hamjambo wana MMU. Wakuu tunakoelekea nguvu za kiume zitatumika ajili ya kuendeleza kizazi tu na sio kuwaridhisha wanawake tena, tulizoea kuona sex machine na dildo zikitumika kwenye porn...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
It will be very hard to see a true friend around you like it has always been difficult finding true love. Fake friends are friend that back bite you, they pretend as if they want your good but...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Unakutana na mwanamke sometimes ana umbo dogo ukizan mtoto kumbe age imeenda, kuna wengine wanasura laini hasa wenye pesa kujua age ake inakuwa ngum anaweza kwambia yeye. Ni mdg kumbe so kweli...
8 Reactions
30 Replies
4K Views
Wadau, Kuna evidence nimeziona upande wa mpenzi wangu zinazonilazimu kuhisi kua alishawahi kuzaa mtoto ila hataki kuniambia 1. Nilishawahi kukuta kwake nguo za mtoto mdogo 2. Kila tukiongelea...
5 Reactions
86 Replies
11K Views
Mm ni kijana mwenye umri wa 31 years old nipo kwenye ndoa huu ni mwaka wa pili nauanza but nimegunduaa Ndoa inachangamoto nyingi sana. Inshort nimekua ni mtu wa stress muda mwingi sana maana mm...
4 Reactions
59 Replies
5K Views
Back
Top Bottom