Morg
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 1,299
- 1,804
Hatimaye last week nilisitishwa kuendelea katika nafasi ya upendo kwa binti mmoja
Kisa sijui ni nini haswa lakini nilipewa announcement usiku kuwa kuanzia sahiv umepewa suspension kwa muda usio julikana na sidhani Kama Kuna haja ya kuendeleza huu uhusiano wetu Morg na mm sikuwa na haja ya kuuliza Kwani nilimshukuru Sana
Hakika katika hili sina la kujutia kwani naona kama Neema kwangu kuwa Free man sipati bugha ya kupiga simu sijui message sijui kupigiwa simu kila mda na vimaswali vingi now nalala kwa amani kbsa na nafanya nachojisikia
Mimi mchezaji huru sihitaji team yeyote kwa sasa nipo pending kwa muda usiojulikana # nukuu sihitaji mbunye kwa sasa .Chamani nilishatundika daruga siku nyingi I CAN LIVE ALONE NOW LET ME FOCUS IN MY DREAMS