Mke mwema anahitajika

Jitahidi sana mke usimpite zaidi yamiaka mitano. Mfano wewe una miaka 32 jitahidi awe kati ya 25-27 gap kubwa baadae shida sana
 
Usioe watoto utajikuta unaenda kulea mke na kukuongezea majukumu ya malezi yani watoto uwalee na mama yao umlee,
Tafuta mwanamke mwenye kukaribia umri wako huyo ndio atakuwa ana elewa nini maana ya familia.
 
Bahati mbaya huku Jf ulikoweka tangazo wengi wako over 40.
Jaribu instagram na fb

Kama unataka makungwi au mafundi sogeza miaka . Utashukuru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom