Mke akiwa na hamu ya tendo la ndoa huonesha ishara hizi

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Wanawake wengi wakiwa na nyege huwa hawasemi kwa uwazi badala yake husema kwa ishara. Mfano ukirudi toka job ukapokelewa kwa bashasha na ucheshi kuliko kawaida then ukapata care ya kipekee ujue siku hiyo mkeo ana genye hivo anakuhitaji sana jiongeze.

Nimeamua kuwadokeza ili nanyi mjue kwa sababu mwanamke akiwa na nyege kisha akakutunuku show huwa kali na ya kipekee sana.

Niwatakie usiku mwema wana MMU
 
Kwani mnashindwa kuambiana kuwa mkakazane tu,
Sisi tusioelewa lughabya ishara tunakaa wapi?
Weekend warning, futa meseji, clear chat
 
Sasa mkuu wewe kariri tu, hawaeleweki hawa viumbe
255715301241_status_6c6d9dfc16954ff0a57f2043b38c880b.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom