Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu habari za Majukumu Ninaye Rafiki yangu wa muda mrefu ambaye tumekua tukipeana michongo mbalimbali ya kufanya. Yeye ni Mkenya ila kwa Sasa anaishi na kufanya shughuri Zake Burundi...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Sikumbuki ni lini ila ninachokumbuka ni wakati ule mara tu baada ya kumaliza kidato cha nne nilitoka zangu moro na kuingia dar ili nitafute harakati za kufanya huku nikisubiri majibu ya pepa...
16 Reactions
64 Replies
14K Views
Habarini humu ndani, Aisee niende straight to the point. Warembo humu ndani naombeni mnipe tips za kudanga. Maisha ni magumu nimesoma nna ka bachelor lakini naona sitaweza kutoboa. Recently...
3 Reactions
54 Replies
6K Views
Hehee halooooo[emoji108] [emoji108] Wanawake wa dar jamani tukishaonaga watu weupe sijui kwa nini tunapenda kujipendekeza na kuendekeza njaa. Yaani mwanamke hata hujatongozwa tayari umeshakubali...
11 Reactions
82 Replies
15K Views
Habari wakuu Hapa job kuna dada mgeni ana kama miezi miwili sasa, na ofisi yetu ina watu wengi sana hasa wa jinsia ya kiume so tangu afike ni vita kila mmoja anataka amnase. Sasa kwa records...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Je hili linawezekana?
1 Reactions
47 Replies
14K Views
Kuna kitu kipo lakini watu hawajui au hawajawahi kukifikiria!Nacho ni nyota ya mwanamke ndio nyota. Leo nimeambiwa kisa kimoja ambacho kimelipua mawazo yangu yaliyolala kwa kitu ambacho...
5 Reactions
89 Replies
19K Views
Ni hivi wakuu niko 20s, kiukwel nimejaliwa kuwa na wasichana mbalimbali in my love relationships . Katika wasichana ambao nmefanikiwa kuwa nao nliwapenda...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Tokea nijiunge na jf nimeshaona thread zaid ya 20 zinazoelezea kuhusu madhara ya punyeto (masturbation) kwa akina kaka. Mada nyingi huletwa na watu ambao tayari wameshapata madhara ya upungufu wa...
21 Reactions
345 Replies
57K Views
Note: siku hiyo hakuna kwenda kazini, guest na hotels zote ni bure, na singles waliokataa kujamiiana walipelekwa police: Source: Skip work, have sex: Russians celebrate 'day of conception' as...
2 Reactions
31 Replies
10K Views
Bwana Yesu asifiwe enyi watu wa Mungu, Wakuu, Kuna binti nilimuahidi kuwa nitamuoa pindi atakapomaliza chuo,anamaliza chuo mwezi huu 7,nilimpa hii ahadi hewa ili niliendelee kumtafuna kisela...
4 Reactions
160 Replies
18K Views
Hii ni kwa wale wanaoangaika na kutafuta wapenzi au kutafuta namna ya kuwashawishi watu wenye wapenzi tayari,muda mzuri wakuchanga karata zako nikuanzia SAA 4 hadi SAA 8 usiku wa manane ukiweza...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
ELIMU YA BURE YA ASILI NA SAIKOLOJIA YA MWANAMKE NA MWANAMUME (Kwa kifupi). Andiko hili, nimeliandika kwa usaidizi wa karibu wa kitabu cha Dr.JOHN GRAY kinachoitwa "MEN are from MARS, WOMEN are...
5 Reactions
10 Replies
8K Views
Mimi ni mwanaume, sijaoa na wala sina mtoto, kutokana na harakati zangu najikuta mara nyingi narudi nyumbani usiku, nilikua nakaa na nguo nyingi zilizochafuka na usafi wa ndani ya nyumba, maana...
10 Reactions
112 Replies
13K Views
Kwa vijana au wanaume wengi ni kawaida kuwa na wanawake zaidi ya mmoja, kutumia vileo, kubet, na matumizi mengine ya kustarehesha. Katika kipindi hiki kipato kimepungua kwa watu wengi. Kwa...
5 Reactions
20 Replies
4K Views
Amani kwenu wadau. Moja kwa moja kwenye hoja kuu, kuna baadhi ya watu wangu wa karibu wamekuwa wakinilalamikia kwamba mimi sijipendi kwa sababu ya vitu kama hivi. *Kutokunyoa nywele mara kwa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
7 FACTORS TO CONSIDER BEFORE YOU MARRY ANYONE Two days ago I posted, "Don't marry anyone just because you love the person, love is not enough reason to get married. There are other factors to...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana JF, Waswahili wanasema ukiona mwenzako ananyolewa tia maji nywele zako. Kuna mdau mmoja (banker) aliwahi leta topic kuhusu masikitiko yake jinsi alivyotendwa na bint wa IFM pale...
24 Reactions
204 Replies
27K Views
Naamini Most women wanapoteza hamu ya kufanya mapenzi sababu ya"dumb a.ss men" they have on bed but I believe when you meet sm1 that monster o skilled on bed u will see the world with different...
9 Reactions
79 Replies
11K Views
Nilikuta hii stori kwenye Women Magazine, inamhusu dada mmoja mzaliwa wa Urusi lakini ni raia wa Uingereza. Aliwenda Uingereza na wazazi wake akiwa mdogo. Jina lake Natasha. Natasha akiwa na...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom