Rafiki yangu anataka kuoa shombe shombe wa Kiarabu

Powder

JF-Expert Member
Jan 6, 2016
4,417
5,440
Wakuu habari za Majukumu

Ninaye Rafiki yangu wa muda mrefu ambaye tumekua tukipeana michongo mbalimbali ya kufanya.

Yeye ni Mkenya ila kwa Sasa anaishi na kufanya shughuri Zake Burundi! Anajiweza kwa kipato na Ujuzi wake umemfanya aendelee kuwepo Burundi

Ni miaka Sasa amekua akinisumbua huu ya lengo lake la kuoa Binti Shombeshombe wa Kiarabu, Binafsi nilikua namwambia Ile JAMII wanapenda kuoana wenyewe Kwa wenyewe! But yeye anaona kwa Dunia ya leo Inawezekana.

Sasa anasema yupo Tayari kwa Ndoa, ananiomba sana nimtafutie mchumba hata huko Zanzibar!

Hivi wapo Black African ambao wwmeoa MWARABU au Shombeshombe?
 
Kama yupo financially stable halafu ni muislamu aende Tabora na Shinyanga japokuwa hizo cases ni rare sana.

Hata Kayenze Ilemela Mwanza nasikia kuna waarabu maisha ya changanyikeni kama wabongo tu.
 
Kama yupo financially stable halafu ni muislamu aende Tabora na Shinyanga japokuwa hizo cases ni rare sana.

Hata Kayenze Ilemela Mwanza nasikia kuna waarabu maisha ya changanyikeni kama wabongo tu.
Yuko Vizuri financially..... Shukrani.
 
Aoe tu wanawake wa kiarabu siyo wapuuzi puuzi.

Wamelelewa katika mfumo dume hasa hivyo kama atajiweza kiuchumi atatulia tu.

Nimeshuhudia watu wengi tu wameoa wanawake wa kiarabu na maisha yanaenda kama kawaida.
 
Back
Top Bottom