tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,898
- 15,547
Bwana Yesu asifiwe enyi watu wa Mungu,
Wakuu,
Kuna binti nilimuahidi kuwa nitamuoa pindi atakapomaliza chuo,anamaliza chuo mwezi huu 7,nilimpa hii ahadi hewa ili niliendelee kumtafuna kisela tu,kiukwel binti wa watu kanionyesha respect na kunijali kipindi chote hiki alichokua masomoni lakini mimi sina hata chembe ya mapenzi ya dhati kwake na naona sio wa hadhi yangu.
Sasa siku za hivi karibuni ndio naona mapenzi yake kwangu yameongezeka x2 zaidi ya mwanzo na anaonekana bado anaikumbuka ile ahadi ya kuoana niliyompa miaka mitatu iliyopita wakati ndio anaenda kuanza chuo maana kama leo kaniambia eti kaota kuwa amekua officially mke wangu, maana kaota tuko kanisani tunafunga ndoa.
Sasa wakuu,mimi nataka nimuache huyo manzi solemba kwenye mataa,kwa kifupi nataka kuingia mitini,nitumie njia gani kumkwepa wakuu?
NB: Kama huna cha kuchangia,pita kimya kimya tu ili tusikwazane.