Jinsi shoga yangu "kibamia" kilivyomuokoa na kifo

richaabra

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
1,467
3,487
Hehee halooooo

Wanawake wa dar jamani tukishaonaga watu weupe sijui kwa nini tunapenda kujipendekeza na kuendekeza njaa. Yaani mwanamke hata hujatongozwa tayari umeshakubali khaaaaa!!!

STORY YENYEWE

Shogaangu mmoja wiki iliyipita katika starehe zake akiwa club moja iliyopo maeneo ya posta mida ya usiku alikikutana na mchina. Baada ya kukutana nae bahati nzuri yule mchina alikuwa anajua lugha ya kiswahili kwa mbaali hivyo maongezi yakaanza.

Shogaangu nae kwa kushobokea watu weupe akaingia mkenge kilainii akijua kuwa anaenda kulala maskini akitarajia kuamka tajiri. Ilipofika usiku mnene shogaangu wakaelewana na yule mchina then wakaondoka wote kuelekea kwa yule mchina.

Kumbe yule mchina alikuwa ni mmoja wa mafundi wanaojenga jengo moja lililopo maeneo ya town hivyo yeye na wachina wenzake walikua wanaishi sehemu moja

Shoga yangu bila kujua akaingia hadi ndani ya lile jengo na yule mchina akitarajia kutoa mzigo then asubuhi apewe cash asepe zake.

Baada ya kuingia ilipofika time ya kutoa mzigo yule mchina akazima taa na show ikaanza. Kumbe mule ndani kulikuwa na wachina kama kumi na wote wakataka mzigo kwa nguvu

Shogaangu wacha achanganyikiwe tamaa yote ikamtokea puani. Heheeeeee haloooooooo

Ikabidi akubali mtungo tu kwa shingoupande heheeeeeeee halooo

Lakini kilichonishangaza mimi ni shogaangu alivyokuwa ananihadithia alikuwa anacheka sana akiniambia kuwa wale wachina wote walikuwa na "vibamia" hivyo kakuskia chochote zaidi ya kelele tu na kula hela zao

Nikamwanbia ungekutana na mziki wa "wanaume wa mkoa " wewe mida hii kwenu kungekuwa na msiba shukuru hao wachina vibamia vyao vimekuokoa

Heheeeeeeee halooooo

Jamani wanawake wa dar acheni kushobokea watu weupe.
 
Mtakufa mwaka huu na njaa inavyozidi nchini ndo mtakoma aisee
 
Mm!!
aiseeeee, kumbe huwezekani!! "Ee Mungu, unajua vyema maisha ya watu na uhitaji wao, Uhimidiwe daima!"
 
pole sana dada kwa yalio kukuta uspende sana hela siku ukikutana na wakongo walio jchubua ukajua wazungu atachana papuchi
 
Ulisahau kumshauri baada ya week mbili au mwez mmoja akacheki na afya...asichekelee vibamia tu.
 
Back
Top Bottom