Nina nini?

Counterbook

Senior Member
Jun 14, 2020
159
71
Ni hivi wakuu niko 20s, kiukwel nimejaliwa kuwa na wasichana mbalimbali in my love relationships .

Katika wasichana ambao nmefanikiwa kuwa nao nliwapenda saana with all i had and all i could mmepewa vitu saana nmependwa jamani mimi.

Ndgu zangu but mimi katka kuwapata wasichana huwa hawaniamin kama mm niwa kuwa nao wote niliofanikiwa kuwa nao na ambao ckufanikiwa kuwa nao wamekuwa waoga sijui nimeseme hivo sijui hawaniamin daaaah!

Nmekuwa nikiwa na msichana kimapenz , naambiwa ww c wa kuwa na yule your too good for her nmekuwa nikiambiwa na wasichana na washkaji wenzangu bt mm naona dem mkali nmechagua nmetuliza akili bt naambiwa vle vle tena.

Kuna time natongoza msichana ananiambia hata kuwa peke ake , mwingne haamin cna mtu "am single" bt mm nko kawaida tu alaf napenda kwel kweli sometimes naumia am not that good looking as they think of me, not from rich family just wa kawaida.

Nikiwa na msichana katka uhusiano wivu kibao bt nawaelewa ivo ivo najua n upendo .

Now am in relationship with a girl that i love her but n muoga nae ,nitamsaliti mm c wakupendwa na mmoja , daaaah! inaniumiza najichunguza tabia nao cko vbya ,had saiv cjielew kwa nn inakuwa ivo ,cpati jibu kwa kwel nakosa furaha bt cjui chanzo nna nn?. Kwa ambao mmewahi kuptia changamoto kama hizi ulimhaminishaje mpenzi ulimpate ,wadada huwa mnawaza nn ?

kuna time had nikajiweka kibaba baba nikawa cvai jeans nionekane kijana makin nim'win mdada iv bt aliniona vle vle nikampoteza ,niweje niaminike mbona nakosa furaha mm, alaf sababu zenyewe cion maana yake , naweza kuwa na nn mm?

Juz nmefatilia saana mdada anatia moyo ataingia bt kaishia niambia vle vle , niweje mwenzenu ni furahi mapenz!, asanten '.
 
kijana, jitahidi unapoandika uzi usichanganye lugha,
inapoteza ufanisi wako katika uandishi

lakini hayo unayokutana nayo kwa umri wako ni sawa tu, hizo ni mbwembwe za ujana, na asilimia kubwa vijna wenzako wanakutana nayo.
 
sikiliza mjomba soma kwanza maliza....pigana mpaka ujenge ukiwa hapohapo nyumbani alafu toka hapo nenda kwako kisha utatafuta hayo mambo mengine.....focus on your goals achana na wanawake... ukiwa na pesa wanawake watakuja wenyewe....
 
Back
Top Bottom