Mbinu za kupata msaada wa kazi

Magnumpi

Member
Oct 4, 2019
68
172
Habarini humu ndani,
Aisee niende straight to the point. Warembo humu ndani naombeni mnipe tips za kudanga. Maisha ni magumu nimesoma nna ka bachelor lakini naona sitaweza kutoboa.

Recently nimepata connection na vigogo kadhaa lakini sasa sijajua naanzaje kuomba favors za hapa na pale I don't mean pesa tu connection za kazi n the like pia.

Kutoa mwili wangu sio tatizo, tatizo nawaza nisije nikaliwa nikabaki manyoya bila kupata faida yoyote.
How do I get all that I want? Share your experiences with me.

I am very serious sitaki mtu PM mimi nipeni tips nikatafute maisha huko.

Nyie mnaojifanyaga kupitia nyuzi za zamani msiniletee hapa.

Your help will be highly appreciated.
======
Mchango
Kwa nikupongeze kwa kuchukua uamuzi wa busara. Amini usiamini haya mambo yapo dunia nzima. Wanaume ndo viongozi na watawala katika dunia. Hata hao wanawake unao waona kwenye position kubwa za kisiasa wengi wamewekwa na wanaume.

Najua wengi watakuponda na kukurushia madongo kwamba hujaelimika na nini, lakini stick to your mission.

Sasa back to your question. Actually neno ulilotumia la kudanga linaweza kuwa si sahihi sana. Hapa swala ni kutengeneza network of value. How to persue someone ili kupata kile unachotaka....wengine wanaita lobying. Its a common practice kwenye biashara.

Mbinu unazotakiwa kuwa nazo ni mbinu kama za Marketing. Sinasijui umesoma nini, lakini lazima ujue kujiuza. Maswala ya kutoa penzi yanaweza kujitokeza lakini wala usiyaweke mbele.

Tips.
1. Jua unataka nini. Stick nankitu unachokitaka. Usitake vingi.
2. Angalia katika network uliyo nayo ni nani na nani anaweza kukusaidia kile unachokitaka.
3. Tengeneza ukaribu na huyo mtu. Hii mara nyingi inategemea na mazingira mliyokutana na huyo mtu. Mmejuanaje? Unaweza kumpigia simu ya kizushi, kuuliza jambo au hata kumsalimia. Cha msingi unapokutana na mtu, endeleza mawasiliano fulani.
4. Akisha kuwa karibu, mweleze kile unachotaka akusaidie...bila kupepesa macho.
5. Hayo mengine utaendelea nayo according na atakavyo kwambia.
 
Magnumpi,
Elimu uliyopata haujakusaidia. Graduate mzima umeshindwa hata kubuni kamradi kadogo kenye tija Kisha uje nako hapa JF uone tunakusaidia vipi utoboe, wewe unakuja na umalaya wako. Kama unadhani huo mdudu wako Ni msaada kwako, chuo ulienda kufanya nini? Miaka uliyoipoteza shule na chuo ungebaki mtaani ukiuza mbunye saa hizi ungekuwa na Yutong 8
 
Mchunguze kigogo unaekutana nae anafanya shughuli gani, amesoma masomo gani. Kwa mfano Bwana S amesomea uchumi ni meneja wa benki, tafuta majarida ya uchumi na benki u some uwe na basic knowledge ya dunia anayoishi hapo hamtakosa cha kuongea.

Usiulize maisha yake na ya mkewe hayo hayakuhusu.

Toa first class service.
Magnumpi
 
Write your reply...Nina miradi kadhaa bila kusahau na shule mbili za msingi za private bila kusahau na makapuni yajihusishayo na biashara kilimo njoo haraka unidange kabla wenzako hawajasoma hii comment
 
Dhana ya elimu ni kuondokana na ujinga,kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti,unaweza ukawa umesoma ila ukawa hujaelimika,yaani elimu yako imeshindwa kukukomboa kifikra,mleta mada unaonekana umesoma ila hujaelimika,

Think again before it's too late
 
Kwa nikupongeze kwa kuchukua uamuzi wa busara. Amini usiamini haya mambo yapo dunia nzima. Wanaume ndo viongozi na watawala katika dunia. Hata hao wanawake unao waona kwenye position kubwa za kisiasa wengi wamewekwa na wanaume.

Najua wengi watakuponda na kukurushia madongo kwamba hujaelimika na nini, lakini stick to your mission.

Sasa back to your question. Actually neno ulilotumia la kudanga linaweza kuwa si sahihi sana. Hapa swala ni kutengeneza network of value. How to persue someone ili kupata kile unachotaka....wengine wanaita lobying. Its a common practice kwenye biashara.

Mbinu unazotakiwa kuwa nazo ni mbinu kama za Marketing. Sinasijui umesoma nini, lakini lazima ujue kujiuza. Maswala ya kutoa penzi yanaweza kujitokeza lakini wala usiyaweke mbele.

Tips.
1. Jua unataka nini. Stick nankitu unachokitaka. Usitake vingi.
2. Angalia katika network uliyo nayo ni nani na nani anaweza kukusaidia kile unachokitaka.
3. Tengeneza ukaribu na huyo mtu. Hii mara nyingi inategemea na mazingira mliyokutana na huyo mtu. Mmejuanaje? Unaweza kumpigia simu ya kizushi, kuuliza jambo au hata kumsalimia. Cha msingi unapokutana na mtu, endeleza mawasiliano fulani.
4. Akisha kuwa karibu, mweleze kile unachotaka akusaidie...bila kupepesa macho.
5. Hayo mengine utaendelea nayo according na atakavyo kwambia.
 
Mungu atusaidie hivi kwa mawazo yako hayo na wewe unaweza simama mbele za watu kushuhudia kwamba Mungu amenitendea jambo la ajabu kwa kuniwezesha kupata ajira.

Kweli siku ya mwisho ni kilio na kusaga meno badala usimame imara katika maombi Mungu afungue njia za kupata kipato unawaza mambo yaliyochukizo kwa BWANA?

Daudi alipata kusema tangu akiwa mdogo mpaka uzee hajawahi ona mwenye haki akaachwa.

Eeeee Mungu zinusuru roho zetu zinaangamia! Hakuna furaha ya kweli inayopatikana nje ya kuliishi neno la Mungu!Nimethibitisha hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sky Eclat,

Ahsante. Swali jingine how do I present what I want without receiving the word NO . Mfano yeye ni mtu mkubwa BOT na mm nimesoma maswala ya biashara how do I get him to give me a job there?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom