Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hakika kama umeshiriki tendo la Ngono na mwanamke au mwanaume tambua huyo hutaachana nae milele ilo ni agano la milele hadi kufa hivyo tunzeni viungo vyenu vya siri
6 Reactions
112 Replies
9K Views
Wakuu natumaini mko poa mimi ni kijana nina umri miaka 25 natafuta mwanamke aliye serius awe mchumba na baadaye mungu akijalia ndoa Mimi nimejiajiri, mrefu wastani, mweusi na ninajitegemea naishi...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Usipokuwa makini unaweza kuhisi unapendwa kutoka moyoni, kumbe kinachopendwa hapo ni uwezo wako wa kugharamia mahitaji (pesa) kwa sasa. Unaweza kupewa sifa zote, kumbe zote ni kalaghabao ngoja...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Mfano unaishi mji A ambao ndiko makazi yako na ndiko unapoendeshea shughuli zako za kila siku, kiasi kwamba watu wako unaoshirikiana nao kila siku wanapatikana Mji huo. Pia, una makazi yako Mji B...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habarini za mchana Nahitaji msaada namna ya kutatua hili tatizo, nina boyfriend wangu, tuko kwenye mahusiano mwaka mmoja sasa.. Alikua ameajiriwa ila kuna matatizo yalitokea kazini kwao miezi...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Katika mapenzi Kuna wakati mnakuwa mnategeana kuanzisha salaam. Hii sijajua sababu yake lkn hii inatokea mara nyingi sana tuliyo kwenye mahusiano tunaelewa vizuri sana. Sasa katika utafiti...
3 Reactions
22 Replies
11K Views
Habari ndugu zangu Naombeni msaada wa kutambua kuhusiana na hoja tajwa hapo juu. Generation ya leo tunashuhudia vijana, na hata rika za kati kwa madai ya kuwahi kumaliza tendo la ndoa na wengi...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Kuchepuka kwa mwanaume ni kitu kisichozuilika, ila nawasii ndugu zangu tuchepuke lakini tuhakikishe wake zetu na watoto wako, wako kwenye mazingira mazuri. Mfano, mfanyie yafuatayo mkeo:- Mpe...
9 Reactions
145 Replies
12K Views
Habari Jamvini, kabla sijajitumbikiza naomba kujua walio na ielewa au experience ya maisha jinsi inavokua kuolewa na mtu mwenye sifa hizi 1. Mchoyo , yani kipindi cha uchumba hajawai kukupa kitu...
3 Reactions
94 Replies
13K Views
9 THINGS WOMEN HATE TO SEE THEIR MEN DO IN MARRIAGE the understanding of women and men in relationships or marriage are not the same that is why there's always conflict in understanding 1...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni kawaida kuwa unapokuwa kwenye mapenzi ina maana ni kuwa pamoja lakini kwa namana moja au nyingine huwa tunaishia kuwa mbali-mbali kutokanana shughuli zetu kama vile masomo, kazi na wakati...
2 Reactions
99 Replies
18K Views
Baadhi ya wanaume hasa vijana wanapovunja mahusiano na wasichana/wapenzi wao huanza kuwatolea siri za ndani hasa maungoni na kuzitangaza hazarani kwa kudhani kuwa wakifanya hivyo watakuwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ndoa nyingi za Kiafrika huambatana na mahari, ambapo mwanaume hupangiwa vitu vya kuwapelekea wazazi wa mwanamke ikiwa kama asante au shukrani ya kumlea binti vyema. Mahari inatofautiana lati ya...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu habari za weekend! Moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa nikisotea mke wa kuoa muda mrefu sana hata humu nilishawahi kutafuta japo sikupata nimekuja kumpata mtaani kwangu. Huyu binti...
7 Reactions
53 Replies
4K Views
1. Anapokutukana : hasa hasa hadharani au chumbani mkanye mara kadhaa kwa kumsihi ya kwamba hupendezwi na tabia yake hiyo, akiendelea zaidi ya mara tano, muache 2. Akikutukania wazee wako: fanya...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Leo nimekaa nimefikiria sana kuhusu ndoa sikupata majibu. Yaani ukifikiria sana unaweza usione maana sana ya kuolewa. Nakumbuka kuna kipindi dada angu mkubwa aliniambia mdogo wangu ndoa ni utumwa...
13 Reactions
117 Replies
10K Views
Mke wangu kanichosha, natafuta demu wa kiarabu umri 25-35 asiwe mnene sana. Awe mchamungu kiasi na asiwe mlevi sana. Mi ni mkristo ila nikimpata nitakayemwelewa, dini namrudishia malikia...
2 Reactions
55 Replies
8K Views
Wanawake ni watu wakuwaangalia kwa jicho la nyuma. Mimi nimeolewa nanina mume wangu tuko pamoja huu ni mwaka wapili tunakaribia . Sisi tunafamily friends wetu kama nyumba 3 wote ni watu...
8 Reactions
59 Replies
5K Views
Hanari wanaJF, Ilikuwa mwaka 2013 , mdogo wangu alikuwa kidato cha kwanza, siku moja alirudi nyumbani kutoka shule alipo maliza kubadili nguo za shule na kuvaa nguo za nyumbani akaniuliza "kupiga...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Back
Top Bottom