jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,643
Kuna kitu kipo lakini watu hawajui au hawajawahi kukifikiria!Nacho ni nyota ya mwanamke ndio nyota.
Leo nimeambiwa kisa kimoja ambacho kimelipua mawazo yangu yaliyolala kwa kitu ambacho nilishakuwa nakuona.
STORY
Kuna jamaa yangu anataka kuoa mke wa pili baada ya kuombwa na mke wa kwanza afanye hivo, jamaa kamuoa mke wa kwanza miaka michache iliopta na alikuwa mambo safi kwasababu bahati ya hela anayo. Ila baada ya kumuoa bidada mambo mengi yakawa yanadorora na ameshuka kawa kapuku kila analofanya linabuma.
Sasa siku chache zilizopta mke wake huyo kamshauri aongeze mke mwingine labda yeye hana nyota ya mafanikio kwani toka waoane mambo ndo yamekuwa upside down."
Hapo ndipo nilipokuja kukubali yale ambayo nimewashuhudia kuna baadhi ya wanawake ukiwa nao tu mambo yanakuwa yanakunyokea sana hadi unahisi tofauti (imenitokea)
Pia kuna jamaa mwingine alioa mwanamke mambo yakawa yananyokaa alipomuacha mambo yake yakawa hayaendi walivorudiana nae mambo yakawaka tena.
Nilishasikia hata mahubiri ya dini nanukuu "kama kijana unahangaika kufanikiwa hufanikiwi basi subiri ukioa hapo nyota yako yaweza ng'arishwa"
HITIMISHO
Mwanamke utaemuoa ndie anadetermine nyota yako ing'ae, au ififie.