Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nachukia mwanamke wa kupendea mtu kisa ana pesa nachukia sana tena sana. yaani unapendwa sababu una hali bora, Mwanamke wa hivi nawashauri wanaume muwe naye makini mimi binafsi inanitokea sana...
13 Reactions
92 Replies
9K Views
Unfortunately has been deleted
2 Reactions
2 Replies
4K Views
Hii ishanitokea kwa wadada watatu tofauti, mdada anakutafta yeye mwenyewe, anakuja yeye mwenyewe, sio kwamba umemfata, na bando lake la simu anatumia kukupigia, tena mtu hauko sehem ya biashara...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Basi siku ya kwanza kukakumbatia kapenzi kangu, nilihisi kama shot ya umeme mwili mzima, shaaaaaaaa. Na kiukweli siku ile usiku sikulala, nilikuwa nawaza kile kilicho nitokea jioni ile. Baada...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Unakuta kijana mdogo kabisa yaani yeye mkewe badala kumuita jina lake, yaan yeye mda wote "mke wangu hiki mke wangu kile" Huo ni ushamba. Tunajua huyo ni mkeo ila sasa imekua kero, unamtangazia...
8 Reactions
89 Replies
7K Views
Natumai hamjambo wanabodi. Miaka ya sasa kumekuwa na ongezeko kubwa sana la singo maza mitaani, je sababu kubwa ya ongezeko hili hasa ni ipi kati ya zifuatazo: 1. Malezi mabovu ya wazazi wa sasa...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, baada ya kuangaika na shughuri za kujenga uchumi wangu binafsi na kutengeneza maisha kuwa mazuri kwa ajiri ya kujenga familia kila siku mambo yanazidi kuwa magumu Nipo kwenye...
7 Reactions
29 Replies
5K Views
Habar zenu poleni na majukumu Niende kwenye mada, takriban mwezi na sehemu umesha kata huyu binti nilimpiga kibuti cha kimya kimya baada ya mizinga kushamiri ndipo nilipoona kuutua huu mzigo wa...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Tukiendelea kusubiri list ya watia nia watakaopitisha, unajua wanaume tunapenda kula mboga za namna mbalimbali. Sasa kipindi fulani nilikuwa na demu wangu tulizoeana na tulikuwa na mengi...
9 Reactions
12 Replies
4K Views
Jamani nimemzimikia huyu babu mwenye tiba ya ajabu. Naamini siku moja nitakuwa bibi yenu. Naomba mniombee ndoto yangu itimie.
1 Reactions
38 Replies
4K Views
hope y'all doin great Je umewahi kusikia sehem panaitwa Pattaya?kama jibu lako ni bado, basi Pattaya ni jiji lililo pembezoni mwa bahari huko nchini Thailand Jiji hili ni maarufu sana kwa...
13 Reactions
467 Replies
103K Views
Nilizama penzini na binti wa kisukuma lahasha i take as mythical issue but dah mwanamke uyu aka jaaa kwa penzi langu akazama mazima. [emoji173] Then after nikavimba kichwa,sifichi makucha yangu...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Wanajukwaa upo salama?? Kabla hamjalala wacha nitupie thread. Una gheto lako sindio? Sasa una dogo lako la kike let say anasoma Chuo, hivi kuja maghetoni kukusalimia kuna tatizo? Anakuja weeknd...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Diva anasema "mwanamke hudatishwa na show za kibabe kunako 6*6 na sio pesa za mwanaume, anasisitiza kua pesa ni ziada tu katika mapenzi " Je, ni kweli au anajitoa tu fahamu Diva
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari Wanajamvi. Kama kichwa kinavyoeleza . Dada yangu kaniomba Ni mshauri akafanye kazi kwenye moja ya macasino yaliyopo hapa jijini Dar ili aweze kujikwamua kiuchumi kutokana na ajira kuwa...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Huyu X wangu simwelewi, mara atume text nimemic uchi wako, mara nimekumiss. Nikipost picha zangu haishi kunisifia nimependeza, nikipost mwanaume anauliza huyo ndio Shem? Yaani kila ninachopost...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari wakuu.! Juzi tulikua ofisi flani hivi ya TRA tunafatilia leseni zetu za gari, sasa tukiwa tunaelekea stand, ikaja V8 moja kali kuna jamaa mmoja hivi wa makamo,akasimama akatusalimia...
35 Reactions
237 Replies
90K Views
Mwezi mmoja uliopita nilipata nafasi ya kumtembelea dada yangu mmoja anayeishi mkoani nilipokua kikazi mkoani hapo. Tulikuwa hatujaonana kitambo sana hivyo alinisisitiza sana nifikie kwake kwani...
32 Reactions
732 Replies
40K Views
Maisha bila familia ni kazi bure, ni sawa na utumwa. Ni vizuri familia kuipa nafasi katika maisha yako kama sehemu ya mafanikio. Wapo watakaosema familia haina umuhimu, wakiamini kama kuna...
10 Reactions
59 Replies
6K Views
Habari wadau wa rika zote. Asante jamani kwakuwa sehemu kuntu ya kuja kupiga soga kujifunza, kuelimika na kupata uchambuzi yakinifu kutoka kwa wadau na wataalamu mbalimbali katika fani...
1 Reactions
1 Replies
749 Views
Back
Top Bottom