Huyu X wangu simwelewi, mara atume text nimemic uchi wako, mara nimekumiss. Nikipost picha zangu haishi kunisifia nimependeza, nikipost mwanaume anauliza huyo ndio Shem? Yaani kila ninachopost lazima a-view na a-coment
Natamani kama nibadilishe no maana alinifanyia vituko sana tulipoachana baada ya kuwa na mahusiano yake mapya nilikuwa nikimpigia anakata, nikituma message hajibu na alinipiga biti nisimtafute kabisa. Sasa saizi ananitafutiatafutia nini?