Dada yangu anataka kufanya kazi za Casino

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari Wanajamvi.

Kama kichwa kinavyoeleza . Dada yangu kaniomba Ni mshauri akafanye kazi kwenye moja ya macasino yaliyopo hapa jijini Dar ili aweze kujikwamua kiuchumi kutokana na ajira kuwa adimu. Nimekosa jibu la kumpa ndugu zangu kutokana na sijui Ni Nini kinachoendelea huko. Kama Wana JF wenzangu naombeni mnipe ushauri wenu wa dhati ili Ni kampatie huyu dada ndugu zangu.

Natanguliza shukrani.
 
Hahahaahaa daaa

Dada wa mtu anamuomba luhusa kaka yake ya kwenda kupigwa mpyepye casino, kakuheshim kwer

Swali: Anataka kujikwamua kiuchumi au kinye.ge? Maana wengine wanajuaga sex ndo maisha bana so aweke wax apo
 
Mi nliwahi kuingia casino mara 1 tu ilikua ni nchi flan hiv nilienda ,, nliona wanawake wanacheza uchi ukimpenda unamnunua unaenda kumla
Za Tz inawezekana zikawa za kistaarabu kidogo labda japo sijui
 
Hahahaahaa daaa

Dada wa mtu anamuomba luhusa kaka yake ya kwenda kupigwa mpyepye casino, kakuheshim kwer

Swali: Anataka kujikwamua kiuchumi au kinye.ge? Maana wengine wanajuaga sex ndo maisha bana so aweke wax apo


Hahaaa,si aseme kama anamwonea wivu dadake?
 
mimi kuna demu aliniomba nimsaidie kudraft barua ya kuomba kazi nikamuuliza unataka kufanya kazi wapi? akanijibu ameona tangazo la kazi ya MOTUARY.... so mkuu we acha aende as long as akili yake ishakubali huko.
 
Hiyo ni kazi kama kazi nyingine!!!


Wapo wanaume pia wanafanya kazi huko.

Wapo watu wastaarabu wanafanya kazi huko.

Nyie tu ana akili zenu eti kufanya kazi casino ama bar ni kwenda kufanya umalaya
 
Habari Wana jamvi..

Kama kichwa kinavyoeleza . Dada yangu kaniomba Ni mshauri akafanye kazi kwenye moja ya macasino yaliyopo hapa jijini Dar ili aweze kujikwamua kiuchumi kutokana na ajira kuwa adimu. Nimekosa jibu la kumpa ndugu zangu kutokana na sijui Ni Nini kinachoendelea huko.. Kama Wana JF wenzangu naombeni mnipe ushauri wenu wa dhati ili Ni kampatie huyu dada ndugu zangu..

Natanguliza shukrani.
Kuna pesa nzuri ila pia mengineyo yapo....after all sio mtawa aende tu...

Jr
 
Kuna Mtu namfahamu alifanya kazi casino ya Arusha, akafanikiwa kuzaa watoto wawili wa kiarabu na kihindi
 
Back
Top Bottom