Eti "Mke wangu". Vijana acheni kuita hivyo mbele za watu

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,959
Unakuta kijana mdogo kabisa yaani yeye mkewe badala kumuita jina lake, yaan yeye mda wote "mke wangu hiki mke wangu kile" Huo ni ushamba. Tunajua huyo ni mkeo ila sasa imekua kero, unamtangazia nani? Wote tunajua ni mkeo. Mkiwa ndani itaneni hivyo sio mkitoka nje

Huyu bwana ni mshikaji wangu mmoja hivi ana tabia hii yaani awe wapo popote hata mbele za watu yeye hajali, muwe baa, muwe kanisani, mtaani, kwenye shughuli etc

Mimi hadi nikimuona na mkewe labda tumekutana huwa namkwepa maana wote tunaonekana wakuja.

Sina wivu, zingatia hilo
 
We mwenyewe unaonekana kama bado ni mdogo sana maana jambo hilo huja lenyewe tu hasa kwa watu walioishi muda mrefu na kuendesha maisha ya familia kwa pamoja,neno haliji hivi hivi tu
 
Unakuta kijana mdogo kabisa yaani yeye mkewe badala kumuita jina lake, yaan yeye mda wote "mke wangu hiki mke wangu kile" Huo ni ushamba. Tunajua huyo ni mkeo ila sasa imekua kero, unamtangazia nani? Wote tunajua ni mkeo. Mkiwa ndani itaneni hivyo sio mkitoka nje

Huyu bwana ni mshikaji wangu mmoja hivi ana tabia hii yaani awe wapo popote hata mbele za watu yeye hajali, muwe baa, muwe kanisani, mtaani, kwenye shughuli etc

Mimi hadi nikimuona na mkewe labda tumekutana huwa namkwepa maana wote tunaonekana wakuja.

Sina wivu, zingatia hilo
Shule munafungua lini?
 
Ukioa ndio utajua Huyo jamaa yako ni mwanaume kweli,maana wanaume wenye kusema mke wangu hadharani ni wachache sana,maana kwa wengi ni neno gumu sana

Si wanawake wala wanaume akimzungumzia au kumtambulisha mwenza wake utasikia Mara 'MR wangu'mara 'mwenzangu' sijui MRS wangu kwahio mwache aonyeshe upendo.

Kiafrika yupo sahihi sana,labda kama unataka Uzungu
 
sio vibaya kama umemuoa kialali iwe kanisani au msikitini, lakini kumuita mke wangu ni sawa kama mungu hajawapa mtoto namaanisha utamuita mama Fulani so ni uamuzi wao kuitana mke au mme wangu
 
Ukioa ndio utajua Huyo jamaa yako ni mwanaume kweli,maana wanaume wenye kusema mke wangu hadharani ni wachache sana,maana kwa wengi ni neno gumu sana

Si wanawake wala wanaume akimzungumzia au kumtambulisha mwenza wake utasikia Mara 'MR wangu'mara 'mwenzangu' sijui MRS wangu kwahio mwache aonyeshe upendo.

Kiafrika yupo sahihi sana,labda kama unataka Uzungu
Kuna Co-worker wenzangu siku moja ana nitambulisha kwa mke wake alisema...Karibu sana hapa ndo nyumbani na huyu ndo mwenzangu (Mke wake)
 
Unakuta kijana mdogo kabisa yaani yeye mkewe badala kumuita jina lake, yaan yeye mda wote "mke wangu hiki mke wangu kile" Huo ni ushamba. Tunajua huyo ni mkeo ila sasa imekua kero, unamtangazia nani? Wote tunajua ni mkeo. Mkiwa ndani itaneni hivyo sio mkitoka nje

Huyu bwana ni mshikaji wangu mmoja hivi ana tabia hii yaani awe wapo popote hata mbele za watu yeye hajali, muwe baa, muwe kanisani, mtaani, kwenye shughuli etc

Mimi hadi nikimuona na mkewe labda tumekutana huwa namkwepa maana wote tunaonekana wakuja.

Sina wivu, zingatia hilo
Wa zamani tulikuwa tunasema.."Jealous people never win''..hapa umefeli ndugu,kaanze upya
 
Back
Top Bottom