Babu wa Loliondo ananipoagawisha.

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,833
Jamani nimemzimikia huyu babu mwenye tiba ya ajabu.
Naamini siku moja nitakuwa bibi yenu.
Naomba mniombee ndoto yangu itimie.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Aaaamen na iwe kama upendavyo bt bibi ye2 kwa maana ipi,.utatoa tiba ya ajabu au?. Umejuaje kama utaoteshwa na wewe?
 
Aaaamen na iwe kama upendavyo bt bibi ye2 kwa maana ipi,.utatoa tiba ya ajabu au?. Umejuaje kama utaoteshwa na wewe?

Nataka niwe mkewe only that. Mambo ya tiba is non of my business
 
Jamani nimemzimikia huyu babu mwenye tiba ya ajabu.
Naamini siku moja nitakuwa bibi yenu.
Naomba mniombee ndoto yangu itimie.
Ukinenacho ndicho kitokeacho.......ongeza juhudi kwenye maombi.
 
Jamani nimemzimikia huyu babu mwenye tiba ya ajabu.
Naamini siku moja nitakuwa bibi yenu.
Naomba mniombee ndoto yangu itimie.

Sijui kama atakufaa maana babu anatumia Airtel....sasa wewe na mtandao wako wa tiGo hebu tuwasiliane...
 
Mmmmhhh BABU yuko kwenye menopause???? au kwasababu ni asubuhi sana labda sijasoma vizuri??!!!
 
Back
Top Bottom