Kwa nafsi yangu nampenda sana lakini hana sifa za kuwa mke wangu

martinezstavo

JF-Expert Member
Jun 30, 2020
736
1,547
Habari zenu wakuu,

baada ya kuangaika na shughuri za kujenga uchumi wangu binafsi na kutengeneza maisha kuwa mazuri kwa ajiri ya kujenga familia kila siku mambo yanazidi kuwa magumu

Nipo kwenye mahusiano na bidada mmoja mwenye financial freedom yake lakin shida ni kuwa Ananata sana. Binafsi yangu nampenda sana lakin hana sifa za kuwa mke wangu (sio wife material ) kisa kasoma india na Saivi anafanya Kazi kampuni kubwa hapa nchini basi hata kupika akijaga geto hataki anachonikera zaidi kuja geto kwangu kupaka ma sanitizer yake kwangu kama mganga anapiga ramli

Sasa mimi nnahamu kubwa sana ya motto nataka nmpe mimba huyu Mtu alafu ntokomee pasipojulikana
 
Vijana wengi waliomaliza vyuo 2010 s wameangukia kwenye matatizo makubwa ya ajira huku mabinti waliomaliza kipindi hicho hicho wengi wao wanamaisha sijui tatizo nini? BTW hatuwezi kuwaoa hawa watu watuua presha tutafute life
kipindi ambacho tumeacha Alama nyuma yetu maana aya maisha vita so ni kufa au kupona
 
Kwa roho hii mbaya na makusudi haya uliyonayo ya kukimbia mimba na kumwacha mwenzio akiwa single mother; na mtoto wenu kutopata malezi ya wazazi wote wawili, sishangai kwa nini hufanikiwi. Badilisha mitazamo yako na utaona hata mambo yako yameanza kubadilika. Kukimbia mimba sikushauri kabisaaaa
 
Vijana wengi waliomaliza vyuo 2010 s wameangukia kwenye matatizo makubwa ya ajira huku mabinti waliomaliza kipindi hicho hicho wengi wao wanamaisha sijui tatizo nini? BTW hatuwezi kuwaoa hawa watu watuua presha tutafute life
Hahaha
 
Hii ni akili ya kuvukia barabara kwa nni umkimbie mwanao
Kama humhitaji mwambie
Don't west her time
 
mtu sio wifey material na unataka mwachia mtoto wako, mkuu tatzo nn au ndo mtoto nae awe ke na asijue kupika.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Kwa roho hii mbaya na makusudi haya uliyonayo ya kukimbia mimba na kumwacha mwenzio akiwa single mother; na mtoto wenu kutopata malezi ya wazazi wote wawili, sishangai kwa nini hufanikiwi. Badilisha mitazamo yako na utaona hata mambo yako yameanza kubadilika. Kukimbia mimba sikushauri kabisaaaa
Nagongea msumali.
 
Habari zenu wakuu,
baada ya kuangaika na shughuri za kujenga uchumi w angu binafsi na kutengeneza maisha kuwa mazuri kwa ajiri ya kujenga familia kila siku mambo yanazidi kuwa magumu
Nipo kwenye mahusiano na bidada mmoja mwenye financial freedom yake lakin shida ni kuwa Ananata sana
Binafsi yangu nampenda sana lakin hana sifa za kuwa mke wangu (sio wife material ) kisa kasoma india na Saivi anafanya Kazi kampuni kubwa hapa nchini basi hata kupika akijaga geto hataki anachonikera zaidi kuja geto kwangu kupaka ma sanitizer yake kwangu kama mganga anapiga ramli
sasa Mimi nnahamu kubwa sana ya motto nataka nmpe mimba huyu Mtu alafu ntokomee pasipojulikana
Nimechekaa sanaaa kwa hii statement mkuu( hata kupika akijaga geto hataki anachonikera zaidi kuja geto kwangu kupaka ma sanitizer yake kwangu kama mganga anapiga ramli)
Mkuu huyo mwanamke ni wife material ila unahitaji mkakati wanamna ya kumbadilisha
Ushauri pata mda ukae naye ufahamu malengo yakee na wewe ili usije ukaingia kwenye mtego wa kuzaa na wewe na mwisho baadaye uko kwenye ndoa yako akaja kukuaharibia mood
ni bora uvumilie utafute mtu sahihi umuoe uzae naye kwa amani na ndoa yako iwe na amani mkuuu
Au kama unamuhitaji huyo mtu Piga kitu atatuliaa tuuu na wewe na unaoa vizur na maramli yake yanaisha mkuu

Natumai ushauri huu utakufaa mkuu
Kibori Nangai
 
Back
Top Bottom