Wiki ya tatu sijapata kitu. Naumia sana

Guru Guja

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
217
281
Sijui mwenzenu niisije, hali yangu ni gumu. Kwa shughuli zangu za duka kila siku wanakuja wanawake wazuri wazuri kununua nguo dukani mwangu.

Nasikitika hao wote nawaona lakini nimekuwa mwoga toka niwe na yule mwanamke ambaye ananisumbua sana kiakili, nawaza sana nitaishije sipati penzi? Wiki ya tatu hii hamuna kitu kwangu.

Naumiza sana
 
Sijui menzenu niisije....ali yangu ni gumu. Kwa sughuli zangu za duka kila siku wanakuja wanawake wazuli wazuli kununua guo dukani mwangu.

Nasikitika hawo wote nawawona lakini nimekuwa muwoga toka niwe na yule mwanamumke ambaye ananisumbua sana kiakiri.nawaza sana nitaishije sipati penzi.wiki ya tatu hii hamuna kitu kwangu.naumiza sana
Umejifuza kuandika MEMKWA?
 
Back
Top Bottom