Bolingo Ya Telephone
Senior Member
- Jun 29, 2020
- 114
- 119
Dah! Papuchi hizi papuchi hizi,noma sana. Ni hivi: Kuna siku tulitembelewa na wageni home kwetu,sasa ilipowadia wakati wa kulala ikabidi mimi niwaachie wale wageni geto langu ili mimi nikalale kwa rafiki yangu.
Huyo Jirani yetu mwenye mke naye alikuwepo pale home alikuja kusalimia wageni,si mnajua mambo ya vijijini mtu akipata wageni basi majirani lazima wawepo; ndipo akaniuliza vipi unaenda kulala wapi nikamjibu kwa akina flani akaniambia dah! kule ni mbali sana tena usiku huu,twende ukalale pale sebuleni kwa Mama.....yaani mke wake mdogo maana Jamaa yeye ana wanawake wawili.
Mimi nikamwambia poa,basi tukafika akamwongelesha mke wake mdogo kumuelezea kisha akaishilia zake kwenda kulala kwa mke mkubwa ila ni boma moja kila mtu na nyumba yake,nami nikalala zangu sebuleni ni mwendo wa mkeka na kigodoro flani hivi walinipatia.
Nilipitiwa na usingizi kweli kweli kwa mbaaali nikahisi mtu ananigusa/papasa,dah! kucheki ni wife wa Jamaa akaniambia vipi mbona umestuka hivyo? Nikamwambia hapana ndipo akaniambia eti ananipenda sana toka siku nyingi sema alikua anashindwa aanzeje kuniambia kisha pale pale akaniambia anaomba nimtafune.
Basi Wadau,kutokana na nilivyokua na ukame/njaa ya papuchi ili bidi nimtafune kweli kweli na ndiyo mwanzo wa mahusiano yetu ya kimapenzi. Mahusiano yaliendelea kwa muda mrefu kitu kama miaka miwili hivi bila mtu yoyote kugundua,Kuna wakati alikua anatoroka kwake usiku ananiletea kitumbua nakula kisha anasepa; wakati huo unakuta Mme wake amelala kwa mke mkubwa.
Aliniambia kua hafurahishwi na kitendo cha yeye kutoka nje ya ndoa ila sababu kuu ni kwamba,Mme wake hua hamridhishi wakiwa kitandani/kwenye tendo la ndoa,yaani ni mzembe.Mlioko kwenye ndoa hakikisheni mna waridhisha wake zenu kwenye tendo la ndoa hata kama hauta weza kumridhisha kila mfanyapo ila jitahidi kati ya tendo mfano 10 basi uweze kufaulu 6, hapo vipi😉
SIKU YA TUKIO/KUKOSWA KOSWA KUFUMANIWA.
Siku hiyo Jamaa alisafiri,ndipo mke wake huyo akaniambia baadae niende nikale tunda,basi ilipofika saa sita hivi mimi huyo kwenda kula papuchi; Ile tu naanza kula mzigo hata sijawashusha wazungu wangu,mlango ukagongwa
Kong kong kong.... Mama flani...Mama flani fungua mlango. Duuuuh! Asikwambie mtu nilijihisi died body, niliona dunia imekua ndogo na nyembamba kama tundu la sindano.
Kumbe Jamaa aliamua kurudi home na si kulala safarini jinsi alivyowambia wakeze,na aliporudi alienda moja kwa moja kwa mke mkubwa, hivyo sisi hatukujua kua Jamaa tayari karudi na yupo kwa mke mkubwa.Huyo Jamaa pia ni mkulima na mfugaji,sasa kumbe ng'ombe walivunja/bomoa zizi wakawa wanataka kwenda shambani ndipo Jamaa akaja kumgongea mke wake mdogo mlango ili ampe kamba za kufungia baadhi ya ng'ombe wakorofi pale. Sasa hatari ni kua Jamaa hua anahifadhi kamba chini ya uvunguni mwa kitanda,nami nategemea nizamie huko huko uvunguni ili akiingia ndani asinione,duuh! nilipata tabu sana.
Ilibidi tushauriane pale chap kimyakimya na wife wa Jamaa kama wale (Panya kwenye kikao cha nani atamfunga Paka kengele) kwamba tusimpe Jamaa nafasi ya kuingia mle ndani,hivyo ikabidi wife wake amuwahi haraka haraka na kamba sababu alipokua akigonga mlango alikua akitamka"Fungua mlango nichukue kamba" kisha wife wake akafunga mlango akarudi kitandani,mimi wakati huo nipo zangu uvunguni mwa kitanda napigwa na baridi hatari maana sikupata hata nafasi ya kuvaa nguo.
Nilikua nategemea Jamaa amalizane na ng'ombe kisha nichomoke,kumbe wale ng'ombe walizingua kiasi kwamba Jamaa asingeweza kurudi kulala maana wale ng'ombe walivunja/bomoa zizi vibaya kiasi kiasi kwamba Jamaa asingeweza kuukarabati usiku na giza lile na akiwaacha wataenda shambani ndipo ikabidi Jamaa akomae nao hapo hapo nje hadi asubuhi kupambazuke ndipo akarabati zizi,mbaya zaidi nilisikia Jamaa akimwiita mke wake mkubwa ili amletee redio na kiti ili akae pale nje akichunga wale ng'ombe wasije wakatorokea kwenye mashamba ya watu.Hahahaha,mimi nilikua nategemea Jamaa arudi ndani ili nami nipate chance ya kutoka kumbe ndiyo mambo yanazidi kukaza!
Kumbuka pale uvunguni nilishindwa kuvaa nguo kabisa,mwili ulikufa ganzi ile mbaya,nguo zangu nilizikusanya na kuingia nazo uvunguni,kila nikitaka kuvaa nguo kitu kinaniambia shauri yako ukivaa nguo tu basi Jamaa atakusikia hahahahah,nilikua naogopa kishenzi maana Jamaa mwenyewe ni mbabe balsa.
Basi Wadau ilibidi ni baki hivyo hivyo, ilipofika saa 11 alfajiri wife wake akaninong'oneza kua inabidi yeye atumie gia ya kwenda shambani,hata hivyo anachukuaga matunda huko mashambani kisha anapeleka sokoni kuuza;aliniambia inabidi anifungie kwa ndani kisha yeye ataondoka na funguo Mumewe akija kuuliza kuhusu yeye kuondoka na funguo atamjibu kua alijisahau tu akaondoka nao,basi nikamwambia poa.
Kingine kilichonisaidia ni kua mke mdogo bado anamtoto mdogo hivyo aliondoka naye kwenda mashambani huko na alipotoka shambani aliungia huko huko kwenda sokoni,maana ni mbali. Basi Wadau nikabaki zangu mle ndani,kumbuka kumepambazuka haswa namsikia Jamaa na wana familia wengine wanapiga stori hapo nje, nikajisemea tu duuh! kweli leo nimepatikana, nilikua naomba miujiza itokee tu nijikute nipo home kwetu lakini wapi! Nilipitiwa na usingizi pale uvunguni hadi pale nilipoamshwa na sauti ya Jamaa akigomba kuhusu mkewe kuondoka na funguo na kwanini hajaacha funguo mahali ambako wanaachaga siku zote, hiyo ni saa saba mchana njaa inauma hatar
Nikatulia zangu kisha nikapitiwa na usingizi tena hadi saa 11 jioni,kisha nikakaa zangu hadi saa moja jioni hivi kigiza kilishaingia ndipo yule wife wa Jamaa akarudi kutoka sokoni kisha akasoma ramani pale nje,Jamaa hakuwepo alienda misele kidogo,nami nikatumia hiyo nafasi ya giza kuchomoka. Nilipofika home kwetu,niliapa sitokaa nitoke na mke wa mtu tena na hata nikitoka naye basi sitokaa niende kwake. Wadau mimi ni Mgeni humu,bado nina kamba mguuni.
Wadau ahsante sana!.