sasa ukimwacha si atakufa na "Kihoro"?? [emoji23] [emoji23]Habari za mida hii wakuu
Naombeni mnisaidie njia za kumfanya huyu mtu aachane na hii tabia...nimechoka asee
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30] mwenye upendo Hana wivu !!!...Habari za mida hii wakuu
Naombeni mnisaidie njia za kumfanya huyu mtu aachane na hii tabia...nimechoka asee
Dawa kiboko ya wivu ni dharau na kiburi nilikuwa na wivu sana kwa felister nilivyogundua kuwa amenidharau na anakiburi kwangu nikaacha wivu taratibu mwisho na penzi likafaHabari za mida hii wakuu
Naombeni mnisaidie njia za kumfanya huyu mtu aachane na hii tabia...nimechoka asee
hii ngoma ngumu aseehHahahahh bado hajaijua JF..nisaidie basi nimfanyaje?
Hatar sanaHabari za mida hii wakuu
Naombeni mnisaidie njia za kumfanya huyu mtu aachane na hii tabia...nimechoka asee
huyu unayemsema bilashaka namjua..!Dawa kiboko ya wivu ni dharau na kiburi nilikuwa na wivu sana kwa felister nilivyogundua kuwa amenidharau na anakiburi kwangu nikaacha wivu taratibu mwisho na penzi likafa
sahau hayo kwanza.Najitahidi kuwa kama anavyotaka,huwa sichepuki...nampenda,sasa sijui huwa anaona nini haswa hadi anakuwa hivi