zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Duh!nawarudisha nyuma kidogo Ila nahisi mna kumbukumbu enzi za shule. Jinsi mapenzi ya shule yalivyokuwa ya kusisimua na kufurahisha
Yalikuaga hayana kuchepuka yale yaani mnapendana mkiwa kidato cha kwanza hadi cha nne. Hayahitaji pesa wala nini kwasababu wote mnaishi katika mazingira yanayoendana.
Kufeli mnafeli pamoja na bakora mnachapwa pamoja sio kama mapenzi haya ya mtaani ambayo yamejaa usaliti na maumivu makubwa
Ukimpenda msichana enzi hizo shule utahitaji kila rafiki yako ajue na walikuwa hawamind wala nini wanakutunzia siri.
School love is the best
That was true love not the one
We witness now days
#Iam Zagarino