Muoe rafiki yako kipenzi

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,836
Takwimu zinaonesha kuwa ndoa nyingi ambazo wanandoa walikuwa ni marafiki wa karibu zimeonekana kudumu. Tofauti na ndoa ambazo wanandoa wakikutana hawakuwa marafiki hapo kabla.

Ndoa ambazo wanandoa wake walikuwa marafiki zina asilimia 70 ya kudumu huku zile zisizo za marafiki vipenzi zina asilimia 34 kudumu.

Kwasababu inawezekana kabisa kubadili urafiki kuwa uhusiano. Hata hivyo uhusiano kurudi kwenye urafiki ni kitu kisichowezekana.
 
Inategemea NTU na NTU Mkuu, wengine hufikia kufunga pingu za maisha.

Takwimu zinaonyesha ukitaka urafiki wenu ufe baina ya me na ke ingiza mapenzi, yani baada ya muda utakufa na kuzikwa mapema na ukisurvive things will never be the same again
 
That is also possible Mkuu. I have seen few examples of those who were in a unsuccessful relationship turned to be very good friends after a while.

Its possible to turn friendship into relationship but its not possible to turn relationship into friendship again
 
hahahahaha I know where you want to go with this idea of rounding off 😜. Haya umeshinda Mkuu.

ikiwa ni 3/10 tuna round off to the nearest ten ndiyo inakuwa fact.
 
hahahahaha I know where you want to go with this idea of rounding off 😜. Haya umeshinda Mkuu.
Haya masuala yalinifanya nikosane na rafiki wa maana hata sijui yuko wapi.
Husna kokote ulipo nakutafuta rafiki yangu....
 
Asikudanganye mtu aiseeh, urafiki ni urafiki na mapenzi ni mapenzi. Mapenzi yakiingia kwenye urafiki bas urafiki umeisha huo. Mi nimepoteza rafiki zangu wa maana wengi tu kizembe baada ya kujichanganya hivi.
 
.
IMG_20200801_123658.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom