Suala hili la ndoa na usaliti

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,503
1,906
Wakuu habarini za kazi, poleni majukumu na shughuli za hapa na pale katika kujitafutia mkate wa kila siku na imani mko vizuri.

Tuingie kwenye point, kiukweli mimi ni kijana wa miaka 25 nimekuwa member wa muda mrefu sana wa JF toka nikiwa na miaka 21 katika kusoma comments za watu mbali mbali nimeangalia na nasikitishwa sana pale ninapoona kwamba wanaume walio wengi ikitokea ameweka thread ya mwanamke wake kucheat basi kila mwanaume anasema maneno ya kwamba amuache, asiendelee ndio zinakuwa nyingi. Ila kwa upande wa pili yaani wanawake wakipost kwamba wanaume wao wanawasaliti inakuwa kinyume response inakuwa kwamba ''hakuna mwanaume aisiyesaliti''.

Kwakweli mimi huwa nashangaa najiuliza sana hivi inakukwaje mwanaume mzima unayejua maana ya ndoa na mliapa mbele ya mwenyezi Mungu kwamba huyu ndio mkeo na utamuangalia huyu huyu kwa maisha yote halafu unasema hakuna mwanaume asiye kuwa na mwanamke mmoja. Kumbuka wakati huo huo sisi wanaume tukisalitiwa tuafikia hadi hatua ya kuua, kupiga na kufanya vitu vya hovyo.

Kama mimi nilikuwa nawahimiza kama mwanaume kama unaona huwezi kuandika comment ya kutoa maelekezo ya maadili ya ndoa bora ukanyamamza kuliko kuandika swala la kipumbavu eti hakuna mwanaume asiyekuwa na mwanamke. Kucheat ni kucheat hata haina excuse hata kidogo.

Kwanini na andika hii ni kwasababu hii hii ya ujinga familia yangu iliangamia kwa sababu baba yangu mzazi alikuwa kama wanaume mnaosema hawezo kuwa na mwanamke mmoja na jamii hii hii ikawa inamshauri mama yanu avumilie huku mzee kesha hama hapo nyumbani, maisha ni magumu na hata tukienda kumuomba hata pesa ya ada ama nguo za shule huyu mzee alikuwa anatufukuza mwisho wa akakaa huko miaka na akiendeleza tabia ya kwamba mwanaume hana mwanamke mmoja bila kujali wanae aliowazaa mwisho wa siku kapata ugonjwa huu na anataka stull bado jamii inamlazimizha mama yangu kuishi naye eti kisa ndoa.

Swali ninalobaki nalo hivi kipindi anaamua kuondoka hakuvunja sheria za ndoa, kipindi anatupa familia kwa kutokujiheshimu si alikuwa ana akili timamu na alikuwa akijua kabisa ana ndoa pamoja na watoto na mabaya zaidi akatutupa bila kujali hata kujali damu yake suala la kusema mwanaume haridhiki ni mwanzo wa kuleta shida katika familia. Ushauri kama unaona umemchoka mkeo mara mia umwambie aondoke sio kwenda kufanya upumbavu na kusingizia eti mwnaume haridhiki
 
Miaka 25! Bado una mengi ya kujifunza kuhusu mahusiano. Uliyoyaandika utakuja kuyasoma upya baada ya miaka 10 yaani ukiwa na miaka 35 ndipo utajua kuwa umeandika mashudu.

Hivi umewahi kusikia Habari za wanawake wenye gubu mpaka unatamani muda wa kurudi home usogezwe? Au umewahi kuwa kwenye mahusiano ambayo unaghalamia kila kitu halafu ukasalitiwa?

Unaanzaje kupima usaliti wa mwanamke na mwanaume kuwa unalingana? Mwanamke umpangie nyumba, ulipe umeme, maji, vifurushi vya TV, pesa za matumizi halafu akusaliti useme ni sawa na mwanamke ambae nje ya kutoa mbunye tu hakuna lingine analotoa!

Wanawake katika mahusiano hutoa penzi tu lakini wanaume wanatoa penzi na kughalamia maisha ya mtoaji wa hilo penzi. Hivi ulishawahi kujiuliza katika mahusiano ukitoa penzi wanawake wananini kingine cha kuoffer?

Ni kweli hakuna mwanaume anaetosheka na mwanamke mmoja Bali uvumilivu na kujifunga hutumiwa ili kudumu na mmoja.
Lakini mwanamke mwenye ghubu ndani ya nyumba ni bora kuliko kelele za mwenyenyumba anaedai kodi ya miezi Tisa.

Huenda mama yako alikua na ghubu sana na kutokana na maneno yako kama mtoto inaonekana ana bad mdomology.
 
Eti young wameacha wachezaji 14 sasa unajiuliza hiyo ni team au kikundi cha kikoba, timu wachezaji 11 Jr

Sent by using Iphone
 
Wakuu habarini za kazi ,poleni majukumu na shughuli za hapa na pale katika kujitafutia mkate wa kila siku na imani mko vizuri.

Tuingie kwenye point kiukwlei mimi ni kijana wa miaka 25 nimekuwa member wa muda mrefu sana wa JF toka nikiwa na miaka 21 katika kusoma comments za watu mbali mbali nimeangalia na nasikitishwa sana pale ninapoona kwamba wanaume walio wengi ikitokea ameweka thread ya mwanamke wake kucheat basi kila mwanaume anasema maneno ya kwamba amuache, asiendelee ndio zinakuwa nyingi. Ila kwa upande wa pili yaani wanawake wakipost kwamba wanaume wao wanawasaliti inakuwa kinyume response inakuwa kwamba ''hakuna mwanaume aisiyesaliti''.

Kwakweli mimi huwa nashangaa najiuliza sana hivi inakukwaje mwanaume mzima unayejua maana ya ndoa na mliapa mbele ya mwenyezi Mungu kwamba huyu ndio mkeo na utamuangalia huyu huyu kwa maisha yote halafu unasema hakuna mwanaume asiye kuwa na mwanamke mmoja.Kumbuka wakati huo huo sisi wanaume tukisalitiwa tuafikia hadi hatua ya kuua, kupiga na kufanya vitu vya hovyo.

Kama mimi nilikuwa nawahimiza kama mwanaume kama unaona huwezi kuandika comment ya kutoa maelekezo ya maadili ya ndoa bora ukanyamamza kuliko kuandika swala la kipumbavu eti hakuna mwanaume asiyekuwa na mwanamke .Kucheat ni kucheat hata haina excuse hata kidogo.

Kwanini na andika hii ni kwasababu hii hii ya ujinga familia yangu iliangamia kwa sababu baba yangu mzazi alikuwa kama wanaume mnaosema hawezo kuwa na mwanamke mmoja na jamii hii hii ikawa inamshauri mama yanu avumilie huku mzee kesha hama hapo nyumbani, maisha ni magumu na hata tukienda kumuomba hata pesa ya ada ama nguo za shule huyu mzee alikuwa anatufukuza mwisho wa akakaa huko miaka na akiendeleza tabia ya kwamba mwanaume hana mwanamke mmoja bila kujali wanae aliowazaa mwisho wa siku kapata ugonjwa huu na anataka stull bado jamii inamlazimizha mama yangu kuishi naye eti kisa ndoa ..swali ninalobaki nalo hivi kipindi anaamua kuondoka hakuvunja sheria za ndoa., kipindi anatupa familia kwa kutokujiheshimu si alikuwa ana akili timamu na alikuwa akijua kabisa ana ndoa pamoja na watoto na mabaya zaidi akatutupa bila kujali hata kujali damu yake ...suala la kusema mwanaume haridhiki ni mwanzo wa kuleta shida katika familia, Ushauri kama unaona umemchoka mkeo mara mia umwambie aondoke sio kwenda kufanya upumbavu na kusingizia eti mwnaume haridhiki
Baba yako alikuwa wa ajabu aisee
 
Miaka 25! Bado una mengi ya kujifunza kuhusu mahusiano. Uliyoyaandika utakuja kuyasoma upya baada ya miaka 10 yaani ukiwa na miaka 35 ndipo utajua kuwa umeandika mashudu.

Hivi umewahi kusikia Habari za wanawake wenye gubu mpaka unatamani muda wa kurudi home usogezwe? Au umewahi kuwa kwenye mahusiano ambayo unaghalamia kila kitu halafu ukasalitiwa?

Unaanzaje kupima usaliti wa mwanamke na mwanaume kuwa unalingana? Mwanamke umpangie nyumba, ulipe umeme, maji, vifurushi vya TV, pesa za matumizi halafu akusaliti useme ni sawa na mwanamke ambae nje ya kutoa mbunye tu hakuna lingine analotoa!

Wanawake katika mahusiano hutoa penzi tu lakini wanaume wanatoa penzi na kughalamia maisha ya mtoaji wa hilo penzi. Hivi ulishawahi kujiuliza katika mahusiano ukitoa penzi wanawake wananini kingine cha kuoffer?

Ni kweli hakuna mwanaume anaetosheka na mwanamke mmoja Bali uvumilivu na kujifunga hutumiwa ili kudumu na mmoja.
Lakini mwanamke mwenye ghubu ndani ya nyumba ni bora kuliko kelele za mwenyenyumba anaedai kodi ya miezi Tisa.

Huenda mama yako alikua na ghubu sana na kutokana na maneno yako kama mtoto inaonekana ana bad mdomology.
kuna mahala nimesema mama alikuwa na ghubu mkuu sikatai kama alikuwa nalo maana mimi sifahamu nianchosema kutetea mwanaume aliyeko kwenye ndoa anatetea uovu wa kusaliti ndoa kwa kisingizio cha kutokuridhika na mwanamke mmoja sio sawa mkuu
 
Miaka 25! Bado una mengi ya kujifunza kuhusu mahusiano. Uliyoyaandika utakuja kuyasoma upya baada ya miaka 10 yaani ukiwa na miaka 35 ndipo utajua kuwa umeandika mashudu.

Hivi umewahi kusikia Habari za wanawake wenye gubu mpaka unatamani muda wa kurudi home usogezwe? Au umewahi kuwa kwenye mahusiano ambayo unaghalamia kila kitu halafu ukasalitiwa?

Unaanzaje kupima usaliti wa mwanamke na mwanaume kuwa unalingana? Mwanamke umpangie nyumba, ulipe umeme, maji, vifurushi vya TV, pesa za matumizi halafu akusaliti useme ni sawa na mwanamke ambae nje ya kutoa mbunye tu hakuna lingine analotoa!

Wanawake katika mahusiano hutoa penzi tu lakini wanaume wanatoa penzi na kughalamia maisha ya mtoaji wa hilo penzi. Hivi ulishawahi kujiuliza katika mahusiano ukitoa penzi wanawake wananini kingine cha kuoffer?

Ni kweli hakuna mwanaume anaetosheka na mwanamke mmoja Bali uvumilivu na kujifunga hutumiwa ili kudumu na mmoja.
Lakini mwanamke mwenye ghubu ndani ya nyumba ni bora kuliko kelele za mwenyenyumba anaedai kodi ya miezi Tisa.

Huenda mama yako alikua na ghubu sana na kutokana na maneno yako kama mtoto inaonekana ana bad mdomology.
wewe unaniona mtot sawa hivi wewe mpaka unaingia kwenye ndoa hukujua kama hilo ni jukumu lako asilimia 100 me ngoja nikushari na utoto wangu ukiingia na notoin ya kuchangia 50% wewe na mkeo hivo hivo utapotea na utakuwa very disappointed. We hujifikirii hata kabla ya koua siku ya harusi tuu wewe ndo inabidi uwe unajua sherehe chakula kinatoka wapi, usafiri wa kwenda na kurudi ni kwamba wanakuonesha wewe ni kila kitu mwanamke ni kama emerency ,,kuhusu kusaliti is something which should not be sugarcoated by any means whether its a man or women in anyways its still wrong and nobody should be taken as a nature as excuse for them to cheat
 
Mkuu pole sana kwa uliyoyapitia/unayoyapitia.
Ni ubinafsi tu wa wanaume kuona kwamba wana haki ya kutembea na wanawake wengi kwa kigezo cha kijinga eti hamna mwanaume anayechepuka.
Kuna wanaume wameweza kutulia na wake zao na wamekua mume/baba bora kwa familia zao.
Ila tatizo linakuja huku mtandaoni mtu akisikiliza hizo sifa za kijinga anaona kumbe ni sawa kwa mwanaume kuchepuka basi na yeye anaona ni jambo la kawaida.
Mwisho wa siku ndo kama hvyo mtu anabeba magonjwa nje anayaleta ndani mama na watoto wanateseka.
It's high time wanaume wajitambue waache kusifia upuuzi, me nikiona mwanaume anajisifu kutembea na wanawake wengi hua namdharau namuona hana akili na hajielewi.
 
its really sad
 
Cheating Sio kitu Cha kusema eti.mwanaume acheat asamehewe alafu mwanamke acheat Afukuzukwe na kupewa sifa. Kila mwanadamu anamatamanio hata wanawake pia tunatamani, mwanaume wako hawezi kuwa na kila kitu. Ndo.maana tunafundishwa kuwa na kiasi na kumtii Muumba wetu kwa matakatazo yake.

Wanaume wanahalalisha ZINAAA..Kwamba kwao ZINAAA ni sawa kabisa.Ila kwa.mwanamke ni Tatizo.haya huwa yanatoka wapi. Kama Zinaa Ni katazo kwa wote wakike na wakiume according to maandiko.

Cheating vi UZINZI. Je wapi walihalalisha UZINZI kwa wanaume na ikakatzwa kwa wanawake.

Kama Kuna tatizo katika ndoa kwanini msitafute suluhu?. UZINZI HAUKUBALIKI
 
Ku cheat Kwa Kiswahili ni nini?..
Msituletee tamaduni za watu wengine
Ku cheat ipo kisukuma au kigogo?

Wazungu ndo Wana cheat..
Waswahili wanaongeza mke
 
ndo maana nikisikia habari kama ya kusema mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja ndo huwa nashindwa kuelewa huku mwanaume akisalitiwa ni vita
Mwanamme makini anaweza kuridhika na mwanamke mmoja sema sasa huyo mwanamke ajitume na kuwajibika vizuri .Nyakati nyingi wanaume huwafanyia vitimbi akina mama waliowakosea kimya kimya hivyo hata mama zetu wanaweza kuwa chanzo cha kupitia maisha magumu

Eg mama yangu alikuwa ni mbishi kwa mzee kisa wote wameajiriwa ,mzee akakimbia
 
Tunavyosema mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja,hatumaanishi mwanaume ajali wanawake wa nje aache kutimiza mahitaji ya familia yake

Baba yako aliendekeza chini akatelekeza familia

Wewe bado mdogo na bado unajifunza,
Miaka 10 ijayo utagundua tunachokisema sasa
 
Miaka 25! Bado una mengi ya kujifunza kuhusu mahusiano. Uliyoyaandika utakuja kuyasoma upya baada ya miaka 10 yaani ukiwa na miaka 35 ndipo utajua kuwa umeandika mashudu.

Hivi umewahi kusikia Habari za wanawake wenye gubu mpaka unatamani muda wa kurudi home usogezwe? Au umewahi kuwa kwenye mahusiano ambayo unaghalamia kila kitu halafu ukasalitiwa?

Unaanzaje kupima usaliti wa mwanamke na mwanaume kuwa unalingana? Mwanamke umpangie nyumba, ulipe umeme, maji, vifurushi vya TV, pesa za matumizi halafu akusaliti useme ni sawa na mwanamke ambae nje ya kutoa mbunye tu hakuna lingine analotoa!

Wanawake katika mahusiano hutoa penzi tu lakini wanaume wanatoa penzi na kughalamia maisha ya mtoaji wa hilo penzi. Hivi ulishawahi kujiuliza katika mahusiano ukitoa penzi wanawake wananini kingine cha kuoffer?

Ni kweli hakuna mwanaume anaetosheka na mwanamke mmoja Bali uvumilivu na kujifunga hutumiwa ili kudumu na mmoja.
Lakini mwanamke mwenye ghubu ndani ya nyumba ni bora kuliko kelele za mwenyenyumba anaedai kodi ya miezi Tisa.

Huenda mama yako alikua na ghubu sana na kutokana na maneno yako kama mtoto inaonekana ana bad mdomology.
Nimekuelewa sana mkuu
 
wewe unaniona mtot sawa hivi wewe mpaka unaingia kwenye ndoa hukujua kama hilo ni jukumu lako asilimia 100 me ngoja nikushari na utoto wangu ukiingia na notoin ya kuchangia 50% wewe na mkeo hivo hivo utapotea na utakuwa very disappointed. We hujifikirii hata kabla ya koua siku ya harusi tuu wewe ndo inabidi uwe unajua sherehe chakula kinatoka wapi, usafiri wa kwenda na kurudi ni kwamba wanakuonesha wewe ni kila kitu mwanamke ni kama emerency ,,kuhusu kusaliti is something which should not be sugarcoated by any means whether its a man or women in anyways its still wrong and nobody should be taken as a nature as excuse for them to cheat
Dah! ila sikulaumu
 
Miaka 25! Bado una mengi ya kujifunza kuhusu mahusiano. Uliyoyaandika utakuja kuyasoma upya baada ya miaka 10 yaani ukiwa na miaka 35 ndipo utajua kuwa umeandika mashudu.

Hivi umewahi kusikia Habari za wanawake wenye gubu mpaka unatamani muda wa kurudi home usogezwe? Au umewahi kuwa kwenye mahusiano ambayo unaghalamia kila kitu halafu ukasalitiwa?

Unaanzaje kupima usaliti wa mwanamke na mwanaume kuwa unalingana? Mwanamke umpangie nyumba, ulipe umeme, maji, vifurushi vya TV, pesa za matumizi halafu akusaliti useme ni sawa na mwanamke ambae nje ya kutoa mbunye tu hakuna lingine analotoa!

Wanawake katika mahusiano hutoa penzi tu lakini wanaume wanatoa penzi na kughalamia maisha ya mtoaji wa hilo penzi. Hivi ulishawahi kujiuliza katika mahusiano ukitoa penzi wanawake wananini kingine cha kuoffer?

Ni kweli hakuna mwanaume anaetosheka na mwanamke mmoja Bali uvumilivu na kujifunga hutumiwa ili kudumu na mmoja.
Lakini mwanamke mwenye ghubu ndani ya nyumba ni bora kuliko kelele za mwenyenyumba anaedai kodi ya miezi Tisa.

Huenda mama yako alikua na ghubu sana na kutokana na maneno yako kama mtoto inaonekana ana bad mdomology.
Akue kwanza ataelewa maisha ya ndoa ni nini? Walau akae kwenye ndoa miaka 6 na kuendelea atakuwa kapata picha kwanini huwa vile!! Nadhani jibu lako limekuwa kubwa sana kwake! Hawezi kukuelewa kwasasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom