Madhara ya kuunga round 1 & 2

BabaLove

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
232
334
Habarini na poleni na majukumu ya kuimarisha huu uchumi wetu mpya.

Kuna baadhi ya watu wanaamini kwenye ule mchezo wa WAKUBWA TU kuunga round ya kwanza na ya pili bila kupumzika ndo ushababi kwelikweli ila juzi kati tunapiga story na mzee mmoja akadai huo mchezo sio mzuri na kiafya una madhara kwa mwanamme japo hakutaka kufunguka sana.

Nikaona nilete hapa hii hoja ili wenye uelewa na hili swala watujuze, tujuzane faida na madhara ya yake.

NAMASTE
 
Mara paaah TL kawa namba moja. Duuh asalam aleykumh mhshimiwa rais tundu lissu. Tundu lissuuuuuu
 
Hiyo tunaita double chance kwa wazee wa mkeka Haina madhara
 
Nikfanikiwaga kuungansha ndo huwa napata utamu wa kufanya mapenz,maana hilo la pil wakat wa kutoka huwa nataman hata kulia KWA utam,na mwanamke ambae huwa anaweza kunvumilia kuunganisha,baada ya kushusha mzigo huwa nampa mabusu meng sana na baadae lazma nmpe zawad ya nguo au pesa
 
Hujasema round ya nn mm huwa napiga round 4 na baiskel yangu kuzunguka umbal wa klm 12 kila jumamos kama mazoezi... Round unayozungumzia ni round gani au round yoyote
 
mwanakulitafuta mwanakulipata mbwembwe za nini unataka kujiona unajua kut*mba kuliko wanaume wote tangu dunia unaumbwa, piga kimoko vuta pumzi piga cha pili
 
Hujasema round ya nn mm huwa napiga round 4 na baiskel yangu kuzunguka umbal wa klm 12 kila jumamos kama mazoezi... Round unayozungumzia ni round gani au round yoyote
kwenye gem la wakubwa tu. najua umeelewa ila uchakaram tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom