Mapenzi yako kwenye simu

Mapenzi yako kwenye simu

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,865
Nowdays vijana wamekuwa wajanja sana upande wa kuapproach wasichana kupitia njia ya simu.

Sijui kwanini Ila simu zimekuwa Kama daraja la wajanja wengi ku-approach wasichana. Ni confidence imepungua au ni maendeleo ya teknolojia na sayansi ndio yamechangia suala hili.

Je, unahisi wapi ni bora kuapproach kupitia simu au ana kwa ana?
 
Mkuu ni teknolojia tu ndo imeleta hivi vitu, ila hata uki approach kwa cm mwisho wa siku lazima tu mtaonana Ana kwa Ana, ko haina tofauti yoyote ila Cha msingi umtie gambani😂
 
Sim imewarahisishia sbb unaweza ukuwe Dar, ukapata mtu wa Arusha! Mwisho mkaonana! Kikubwa kumwingiza box tu
Licha ya hivyo Ila now days once a boy meets a girl kitu cha kwanza wanaomba namba kwani without phone wangefanyaje sasa[emoji4]
 
Back
Top Bottom