Sijui nichukue maamuzi gani?

Sijui nichukue maamuzi gani?

Harrykany

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2019
Posts
645
Reaction score
704
Nilikuwa na mpenzi wangu tumedumu naye kama miezi 3. Lakini mara nyingi tunasumbuana sana. Ni kigeugeu sana, mara awe freshi na mimi, muda mwingine anakua kama rafiki yaani in shot hasomeki kasimamia wapi?

Nikimuuliza anasema mimi sipo serious na yeye. Wakati yeye Mara zote hayupo romantic kabisa, ikafikia time anasema hataki kuendelea na mimi ila anataka tuendelee kuwasiliana na mimi, mimi nikamwambia kama umeamua kuondoka kwangu basi usinitafute, anasema nianze mimi kutomtafuta.

Hata sielewi, sijui nimpotezee au nionyeshe u serious gani? Halafu mimi nampenda sana.
 
Mzee baba mwanaume ww acha kulia lia kama demu anazingua kuna mawili ya kuamua either umuache au

uendelee kuumia demu kashajua upindui hiyo ndo shida kaza moyo muache kama week bila kumtafuta alafu fanya

mambo mengine ya kusaka hela lazima akutafute ata ikipita miaka atakutafuta madem wanamtindo wa kwenda

na kurudi so kama amekupenda atarudi kaza mambo mengine hayaitaji ushauri
 
Mkate we si mjumbe piga chini huyo atakutesa sana ukizidi kumganda.
 
Yuko na mahusiano mengine amekuweka kama mpango wa kando hataki kuwa deep na wewe na hataki kukupoteza ila siku yakiparanganyika awe na kwa kukimbilia
 
"Alafu me nampenda sana" Nigger hapa ndo kuna tatizo mengine yote sio matatizo kabisaa..[emoji23][emoji23][emoji23] Rekebisha kwanza hilo
 
Huwezi kulazimisha penzi usipopendwa, kwann uteseke na mtu asiyekupenda? Unaposema bado unamupenda hapo ndo kwenye changamoto, hata ushauriwe vip huwez kuelewa sababu unampenda Sana...
Ukijua kupenda jua na kuacha.
 
Mzee baba mwanaume ww acha kulia lia kama demu anazingua kuna mawili ya kuamua either umuache au

uendelee kuumia demu kashajua upindui hiyo ndo shida kaza moyo muache kama week bila kumtafuta alafu fanya

mambo mengine ya kusaka hela lazima akutafute ata ikipita miaka atakutafuta madem wanamtindo wa kwenda

na kurudi so kama amekupenda atarudi kaza mambo mengine hayaitaji ushauri

Sent from my EML-L29 using JamiiForums mobile app


Asante kiongozi nisha fanya maamuzi nisha futa namba kabisa.
 
Huyo mwanamke anakupa kipi Cha tofauti. Umefanya kosa kubwa Sana kumpenda.
Huyo anaye mwanaume wa roho yake, Sasa maji yakipoa kule anapeleka ndoo , yakitibuka anajirudisha kwako.
Wakielewana anakwambia umuache.
Mzee kukikucha ndege haamshwi.

Asante mkuu nimezingatia, tayari
 
Huwezi kulazimisha penzi usipopendwa, kwann uteseke na mtu asiyekupenda? Unaposema bado unamupenda hapo ndo kwenye changamoto, hata ushauriwe vip huwez kuelewa sababu unampenda Sana...
Ukijua kupenda jua na kuacha.

Naamini katika hilo kaka,
 
Back
Top Bottom