Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

A black woman happily shows off her two husbands and reveals they are happy together A woman who is happily married to two men and live in the same house with them has shared photos of them...
2 Reactions
77 Replies
7K Views
Kula bata na mpenzi wako au familia yako kuna raha sana. Na haiitaji uwe na pesa nyingi, bali ni nia tu. Unaweza kufanya angalau mara moja kila mwezi kutokana na nafasi pamoja na kipato chako...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Yani kumuoa mtoto wa kishua shida ye amelelewa kwenye raha hajui kuhusu shida. Wengine hata kupika hawajui ndo utaona. Ndiyo utashangaa wafanyakazi home anaajiri kama saba wa kupika wa kufua wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Umekuwepo mtazamo kuwa watoto wa kike pindi wanapojitegemea au kupata mafanikio hukumbuka nyumbani na kukumbuka wazazi wao lakini eti watoto wa kiume wakishafanikiwa na kujitegemea huwa...
1 Reactions
6 Replies
860 Views
Kuwa katika mahusiano na mwanaume mtu mzima na tajiri ni hatari sana, kwa sababu hiyo ina maana unaweza kuwa na madaraka kidogo juu ya mahusiano. Kwa kukosekana kwa usawa wa madaraka, unaweza...
4 Reactions
79 Replies
9K Views
Yaani katika kabila ambalo halijui kupetty wanawake ni wakurya yaani hata ndoa zao ni kibabe... Nasikiaga eti mpaka wanawake wa kikurya wanapigana na waume zao ngoma droo.. Ila wenzetu wagogo na...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Wadau wa jf habari zenu Niende moja kwa moja kwenye mada...
2 Reactions
52 Replies
3K Views
Ukisika Super Brand SPISHI ndo hizi nyingine za kubumbabumba na Maabara... .. Huku ni LIFTI ....LIFT Valeeee Bonde la Ufa Tanzania lina siri nyigi kubwa vipaji vilivyo jificha Bakuu Mutembee...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Huu ndio ukweli uliopo. Nafasi uliyonayo kwa sasa au nyanja yako ya kiuchumi uliyonayo ndiyo itakayokupatia mpenzi anayeendana na hali uliyonayo. Kama hali uliyonayo itabadilika huko mbeleni, pia...
12 Reactions
53 Replies
4K Views
Wanatutupia lawam kila siku tuna matatizo kumbe ni wao wana shida kubwa. Play kuanzia dakika ya 27
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Yaani hawa viumbe hata siwaelewi shida ipo wapi! Au ndio mnatumia ile nadharia ya kwamba ninyi ni dhaifu hivyo mnaamua kufanya upuuzi kadri mtavyoweza? Yaani unakuta dada wa watu mnakutana...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Juzi kati hapa nikiwa maeneo flani ya mjini nikiwa ndani ya usafiri wa Uber, nilishuka sehemu moja hivi ni duka la nguo, wakati nashuka kwenye ile gari dada anaeuza duka aliniona. Nikaingia pale...
18 Reactions
55 Replies
7K Views
  • Closed
Wakati nasoma kulikuwa na dada mmoja class (chuo) aliniazima calculator yake akaenda nayo chumbani kwake kwa minajili ya kwamba ataniletea usiku saa tatu kwenye discussion (tulikuwa na test ya QMS...
41 Reactions
297 Replies
78K Views
Leo asubuhi katika pitapita zangu, nimekutana na watoto wadogo wakiwa wamebeba mizigo ya kuni kichwani, nikajikuta nimekumbuka tukio muhimu maishani mwangu ambalo nimeona tushirikiane tu...
21 Reactions
52 Replies
5K Views
Boy: I need someone to talk to. Girl: I'm always here for you. Boy: I know. Girl: What's wrong? Boy: I like her so much. Girl: Talk to her. Boy: I don't know. She won't ever like me. Girl...
0 Reactions
4 Replies
64K Views
Wanawake sijajua kwanini sometime mnalazimisha mwanaume aanze kuchepuka. Kadri siku zinavyoenda wife anapunguza mashamsham kabisa.Frequency ya games imepungua. Si mbaya ameongezeka uzito sana but...
14 Reactions
43 Replies
7K Views
Ni Dm kama upo serious tu tafadhali. Lengo ni mahusiano yatayopelekea ndoa, kwa hiyo nahitaji mtu aliye na uhitaji Mm ni jinsia ME, Umri wangu miaka 30, mrefu sio sana mwembamba. Elimu yangu ni...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
I love her but I don't know where to start from. Niliwahi kukutana na msichana mmoja mdada wa chuo wakati wa likizo ya corona mwezi wa 4 She's well behaved na anaonekana ni super smart sasa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wana Jf Ni muda sasa tokea nilipotoka kwenye kifungo cha pepo mchafu na muuaji wa maisha yaan ni silent killer namshukuru mungu Mwaka jana niliposti Uzi KUOMBa msaada juu ya kujitoa kwa...
10 Reactions
34 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…