Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa akili yangu na kuona jambo ambalo litanifaa kumwambia mtu ukweli kuliko kukaa kimya ni vizuri kuanza moja. Ni bora kuwa wa moto au kuwa wa baridi kuliko kuwa vuguvugu. Ukweli utaniweka...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Ukioa mwanamke kwasababu tu ana sura nzuri, anavutia, ana shape, ana wowowo kubwa utajuta, tena utajuta baada ya miaka mitatu tu. Adui number moja wa mwanamke ni muda tu, nadhani tumeelewana...
13 Reactions
109 Replies
13K Views
Habarini za leo wakuu wangu, Natumai mu wazima wa afya njema, kama kawaida yangu nina katatizo fulani nimeona nije niombe ushauri. Nadhani mnakumbuka hapa majuzi nilipokea kichapo kwenye ile...
3 Reactions
49 Replies
12K Views
Habari za mida hii wakuu, nauliza wanaume mkeo au mpenzi wako akikuita baba unajisikiaje? Mfano anakwamia uko wapi baba? Pole baba na wanawake ni sahihi kumuita Mume baba?
4 Reactions
86 Replies
15K Views
Kabla ya kumpenda mwenzako jipende wewe kwanza. Kuanzia kwenye mavazi, chakula (lishe), tabia, afya, mahitaji yako ya lazima n.k. Sio wewe kujitesa na kujiwekea mazingira magumu ili unayempenda...
14 Reactions
19 Replies
2K Views
Kipindi fulani wakati na date na namba D niliwahi kupata mkasa mmoja uliniacha na maswali mengi kuliko majibu ilikuwa hivi Nilikuwa na date na dada mmoja wa kichaga kama tujuavyo kuna siku una...
14 Reactions
72 Replies
8K Views
Wakuu salam Ni hivi, huyu binti nimekuwa nae kwenye mahusiano nilipokuwa chuoni, yeye pia akiwa chuo, makubaliano yetu ilikuwa ni kuja kufanya maisha pamoja, nikimaanisha kuoana, hivyo basi...
6 Reactions
66 Replies
7K Views
Mida yote ni kupigwa mizinga tu;nikitafakari matumizi ya mwezi mmoja najikuta hakuna la maana nililofanya zaidi ya kukaa kati na kugaramia tu.Nikitazama mbele naona mwisho ni mbaya,kutimiza...
19 Reactions
309 Replies
23K Views
Jamani maada hii nimeiona ikizagaa kule FB nikaona niipost huku Kwa Wenye NDOA vurugano .. Kama itakusaidia OK .. Bihagaze DIAGRAM * Mume X * *.... *Mke Y * * * * * * * 1The5:22 *1.)...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu Kuna huyu binti jirani yangu. Nyumba ya 4 kutoka hapa kwangu ni binti mdogo wa kidato cha 5 katika shule moja hapa mjini. Nimehamia hapa mtaani mwezi machi mwaka huu. Basi wife ndo...
4 Reactions
75 Replies
7K Views
Habari wana JF, Kuna kasumba moja kwenye mahusiano ya Mama mwenye mtoto na Boyfriend wake. Mara nyingi boyfriend/bwana wake huwa hajali yule mtoto, huwa busy na kumhudumia mpenzi wake tu. Kwa...
17 Reactions
143 Replies
11K Views
Nipo inbox now Natongoza single mother flani hivi aliyejipitisha jana jioni kwenye banda langu la kiepe, Siyo haba ni mzuri makinikia yapo ya kutosha ndio maana mr Zero nimejitosa kuomba ata...
7 Reactions
90 Replies
10K Views
....We mpende tu mwanae.... Utapewa mpaka vya Uvunguni. Tatizo kubwa Virungu Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
97 Replies
12K Views
Oya wana, mkiwa tayari kuingia kwenye Mapenzi au (Ndoa) Hakikisha unaepuka kiaina Masingo Maza. Acheni Masingo maza waolewe na masingo faza wenzao. Kuna sababu kadhaa ambazo nimekuja kugundua...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Mkiwa mnaishi wenyewe bado kupata watoto, ndani ya mjengo mkubwa ni raha sana. Alafu uwe na mzigo wa maana, unaweza kuiona dunia yote ni ya kwako. Tunasema hapo maisha ni full shangwe, hakuna...
11 Reactions
79 Replies
5K Views
Nakumbuka wakati nimetoka kwenye mishe zangu ikiwa ni saa 7 kasoro mida ya usiku Sana siku ya jumamosi nikakutana na wadada wawili warembo stand wakisubili gari pamoja na me.Tumekaa kidogo...
40 Reactions
45 Replies
6K Views
Raha ya JF ni kusema unachokiwaza, ulichokipitia au kureferesh mind bila kuogopa kwa Sababu hatujuani. Mimi mpaka Sasa nina 27 yrs lakini nimekuwa kwenye mahusino na wanawake/wasichana watano tu...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
Kwa hisani ya watu wa mitandaoni na si kauli yangu, sijui waliona nini mbwa hawa mpaka wakaandaa list hii!
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Wakuu, kuna msichana mmoja niliachana naye baada ya kugundua kuna vitu anavyo ambavyo ni vikwazo kwangu hivyo nisingeweza kuwa na malengo nae ya mbali, hivyo nikamuacha kibaharia bila ugomvi wala...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Jamani natumaini wazima wote, Ushauri wenu ni muhimu sana nikijumlisha na mawazo yangu. Nimekuwa mtu ambaye nashindwa kumpenda mwanaume muda wote nimekuwa nampenda mda mfupi tu alafu nakuwa bize...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…