Bongo/Tanzania kila mtu anajua mapenzi

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Yani Tanzania tumeendelea sana upande wa mapenzi na mahusiano.

Kiufupi sijui ni nani alituambukiza. Ni kama vile tumetumwa kwa ajili ya mapenzi. Yaani bongo mtu awe mtoto awe kijana mapenzi anayajua.

Tena kwa mfano watoto wa shule za secondary walimu walishasolve kesi za LOVE AFFAIRS mpaka washachoka. Wa secondary maongezi yao utafikiri ni ya kuhusu masomo la hasha! Ni Love tu. Vigroup vyao ni vya gossips na udaku wala sio masomo ni LOVE tu..

Alafu nikajiuliza hivi Bongo hakuna mabikra au nini? Kwasababu ukizunguka kila msichana unayekutana nae ye ndio hodari yaani ndio mjuzi mpaka basi.

Mwanaume unaweza ukawa bado hujui kuhusu mapenzi ila wadada sasa wamebobea. Ni ngumu kukuta ka girl kadogo muanze nako relationship kakiwa hakajawahi kuonja dunia ya Love?
 
Hata mimi nilivyokuwa bikra nilikuwa najifanya nguli mapenzi

Mara nyingi tunachokiongea na utekelezaji vinaweza kuwa na utofauti sana....kuna watu tuna/wanajua kuchangamsha genge tu
Mara ya mwisho kuwa bikra ilikuwa lini.?
 
Hizi habari za ‘kila mtu’ huwa mnazitoa wapi nyie?

Hata humu JF huwa mnasema eti ‘kila mtu’ wa humu ni tajiri, ana hiki na kile, yuko hivi na vile, n.k.

Hivi mnajua kweli maana ya ‘kila mtu’?

Mtu unaposema ‘kila mtu’, je, na wewe umo kwenye hiyo ‘kila mtu’?

Au wewe unayesema hivyo siyo mtu?
 
Hata mimi nilivyokuwa bikra nilikuwa najifanya nguli mapenzi

Mara nyingi tunachokiongea na utekelezaji vinaweza kuwa na utofauti sana....kuna watu tuna/wanajua kuchangamsha genge tu
Dah! Kuna kidemu Fulani niliwahi kuwa nacho kilikua Kama wewe!

Yaani katoto kakianza kuzungumzia mambo Yale mtu mpaka unapagawa

Nikaamua kukatongoza duuuu! Siku ya Kula tunda kimasihala naona kanakimbilia kamba tu kwenye ulingo, mpaka kukashika nishalowa chapa chapa mijasho,kanalia Kama kisu kipo shingoni, kuja kustuka nimekata utepe, nikaona duuuh! Maneno meengi kumbe hakuna kitu.
 
Hizi habari za ‘kila mtu’ huwa mnazitoa wapi nyie?

Hata humu JF huwa mnasema eti ‘kila mtu’ wa humu ni tajiri, ana hiki na kile, yuko hivi na vile, n.k.

Hivi mnajua kweli maana ya ‘kila mtu’?

Mtu unaposema ‘kila mtu’, je, na wewe umo kwenye hiyo ‘kila mtu’?

Au wewe unayesema hivyo siyo mtu?
Exaggeration expels exactitude.
 
Ndio hivyo mkuu

Maendeleo yaniache nyuma hata chai za kawaida kama hizi za kuchangamsha genge ziniache pia?hell no!
 
Hizi habari za ‘kila mtu’ huwa mnazitoa wapi nyie?

Hata humu JF huwa mnasema eti ‘kila mtu’ wa humu ni tajiri, ana hiki na kile, yuko hivi na vile, n.k.

Hivi mnajua kweli maana ya ‘kila mtu’?

Mtu unaposema ‘kila mtu’, je, na wewe umo kwenye hiyo ‘kila mtu’?

Au wewe unayesema hivyo siyo mtu?
Hizo ni phrases tu za kunogesha statements
 
Uchumi wa kati sasa umepamba moto tuongeze juhudi tufike uchumi wa juu zaidi
 
Kwa wabongo nadhani sio mapenzi tu,Ukijaribu kuongelea afya yako mbele za watu mfano mwili sijisikii vizuri,Nina joto kali hapo hapo utasikia mtu kashakupima na majibu yako anayo utasikia hiyo maleri imeambatana na taifodi,Unayedhani hajakusikia nae sio UTI kweli hiyo.Itokee sasa useme nimeitwa polisi au nina samansi mahakamani utasikia,Aaah hapo hamna kesi kabisa Ukizungumzia dini sasa wengine kama wanene kwa lugha au wakusomee albadir kwenye soka utasikia mtu wa buza na akili zake anasema leo tupo nyumbani kumbe Man united wako Old Traford wabongo kiukweli wananikoshaga sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom