Unamtongoza halafu anakwambia mimi dada yako unajua, mnamanisha nini?

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,556
2,560
Unakuta umemtongoza manzi au hata umemuoneshea ukaribu wa kimahusiano halafu unakuta anakwambia "mimi dada yako unajua" hii sentensi huwaga wanamanisha nini?

Leo mjibu hapa nyie jinsia ya KE, ingekuwa dada ndio angekuja kukutongoza?
 
Unakuta umemtongoza manzi au hata umemuoneshea ukaribu wa kimahusiano halafu unakuta anakwambia " mimi dada yako unajua" hii sentensi huwaga wanamanisha nini..leo mjibu hapa nyie jinsia ya KE, ingekuwa dada ndo angekuja kukutongoza?
😅😅anafikiri dada zako wote huwajui.
Em tuwasubiri
 
Nakumbuka kuna bi dada mmoja nilikuwa namtongoza sasa akawa ananizarau sana eti wewe mtoto ananiita mdogo angu sasa mimi nikajitetea kuwa usinidharau aisee naweza mambo sasa nikawa namwambia tupange mechi kama vp basi alinisumbua mwisho wa siku akakubali basi tukaenda zetu gesti aisee iyo atokuja kusahau alichezea kichapo hatari alipigwa bao kama 7 badaae akawa ananifata mwenyewe mtoto kakolea hatar
 
Unakuta umemtongoza manzi au hata umemuoneshea ukaribu wa kimahusiano halafu unakuta anakwambia " mimi dada yako unajua" hii sentensi huwaga wanamanisha nini..leo mjibu hapa nyie jinsia ya KE, ingekuwa dada ndo angekuja kukutongoza?
Sasa mdogo wangu hujaelewa nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom