Hivi nyie mademu, pesa haswa ni sh ngapi?

Hivi nyie mademu, pesa haswa ni sh ngapi?

Naantombe Mushi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
6,254
Reaction score
15,743
Kuna hii mentality kwamba mademu wengi wanapenda pesa. Ila mi nimekuwa nikipata shida sana kuelewa hichi kitu.

Nilitaka kujua kwa wanawake ili useme jamaa yangu ana pesa ni kwamba anatakiwa awe na pesa kiasi gani?

Unakuta kwa mfano kuna demu tu wa uswazi ukiwa kila siku unampa vocha ya 1000 halafu kila mwisho wa wiki unampa labda 20000 kimahesabu hapo ni kama ki 150k kwa mwezi na demu anaweza kukuona huyu jamaa yangu ana pesa kinoma.

Upande mngine unakuta demu wa corporate world ama wa chuoni akishamuona mshikaji ana kagari cha 10M halafu kila mwisho wa week wanakula bata hata za 100 plus vi mzinga vya 50k 70k .. Hapo anaamini mshikaji ana pesa.

Wakati deep down, hayo mambo mtu mwenye kipato cha 3M anaweza kuyafanya hayo yote na akati mtu mwenye uwezo qa 3M kwa mwezi ni mtu wa kawaida tu.

Swali: Ni kwanini wanawake mnakuwa cheap sana? Mnaangalia material things halafu material things zenyewe ni hivo vi elfu sabini hamsini..

Mjumbe hauawi.. Jiwe limetua ikulu.. Kama nakuona wewe demu unajiandaa kudanga kwa jamaa yako mwenye pesa.. Pesa yenyewe sh ngapi kwanza?
 
Mi nilikuwa na boyfriend simuombi hela wala nini had akawa ananishangaa nami spendagi kuomba hela au Mimi ni mshamba kuliko wanawake wenzangu had najionaje cjui cpendi kujidhalilisha nakuomba omba
Nmekuwa nikitafta mke mwenye sifa kama zako, sipendi kuombwa bali napenda kutunuku. Natumai mungu amejibu maombi yangu usiku wa leo. Tuchekiane p.m tafadhali
 
Mi nilikuwa na boyfriend simuombi hela wala nini had akawa ananishangaa nami spendagi kuomba hela au Mimi ni mshamba kuliko wanawake wenzangu had najionaje cjui cpendi kujidhalilisha nakuomba omba
Kiukweli mwanzo nilishangaa Sana hadi ikafika hatua najiuliza maswali mengi kwanini huniombi pesa.

Ila ikanibidi nijiongeze nikawa nakupa hata Kama hukuniomba japo mwanzo ulikuwa mgumu kupokea. [emoji23] [emoji23]
 
Mi nilikuwa na boyfriend simuombi hela wala nini had akawa ananishangaa nami spendagi kuomba hela au Mimi ni mshamba kuliko wanawake wenzangu had najionaje cjui cpendi kujidhalilisha nakuomba omba
Hongera bibie... Mwanamke kuomba vihela mbuzi ni ushamba wa aina yake.. Ntamuelewa mwanamke atayeniambia Baby naomba unifungulie biashara.. Honestly ntajikaza nitafute hata milioni 6 ... Ila sio demu kila siku vimzinga vya 20k
 
Mi nilikuwa na boyfriend simuombi hela wala nini had akawa ananishangaa nami spendagi kuomba hela au Mimi ni mshamba kuliko wanawake wenzangu had najionaje cjui cpendi kujidhalilisha nakuomba omba
Dada wanawake kama nyie mko wap jmn . Cariha kama huako kwenye mahusiano, tufahamiane zaid.
 
Kaka hii tabia inakera. Inakera mno.. gf vibom kila cku.. na si kwamba hana kazi. Mwingine anakaz nzur tu lakim kutwa haish vibom.

Inakera sana sana sana
 
Na nyie si mnavyenu mnaangaliaga mpk umfuate huyo mtu. Kwahyo don't judge women kwa kupenda ela, maana ht nyie mnavyenu mnavyopenda
 
Mshikaji ana kagari ka 10M alafu kila mwisho wa week wanakula bata hata za 100 plus vimzinga vya 50k 70k.. Hapo ana amini mshkaji ana pesa.

Huku kwetu naona kuna mademu wanakunywa shot za konyagi na wanakuja na mabwana zao wana magari ya 10M sasa sijuwi zile konyagi za kupimiwa jero jero ndiyo bata la 100k.. Basi sawa mm napita tu.
 
Kiukweli mwanzo nilishangaa Sana hadi ikafika hatua najiuliza maswali mengi kwanini huniombi pesa.

Ila ikanibidi nijiongeze nikawa nakupa hata Kama hukuniomba japo mwanzo ulikuwa mgumu kupokea. [emoji23] [emoji23]
Hahaaaa nilitaka uguswe moyoni unipe ili nikuone hata ukiwa baba mtoto hatutasumbuana hela ya matumizi
 
Hongera bibie... Mwanamke kuomba vihela mbuzi ni ushamba wa aina yake.. Ntamuelewa mwanamke atayeniambia Baby naomba unifungulie biashara.. Honestly ntajikaza nitafute hata milioni 6 ... Ila sio demu kila siku vimzinga vya 20k
Kweli sasa kumgeuza boyfriend wako ATM haipendezi mwenyewe hzo hela ndogo ndogo bora zingekuwa za mtaji
 
Na nyie si mnavyenu mnaangaliaga mpk umfuate huyo mtu. Kwahyo don't judge women kwa kupenda ela, maana ht nyie mnavyenu mnavyopenda
Mi sikatai mwanamke kuomba omba hela ila ninacho mind ni kwamba naona kama wanawake wengi madai yao ya pesa yana mtizamo wa umasikini.

Unakuta mwanamke anaomba hela ya vocha, mara elfu 20000 ya saluni Really? Kwanini mizinga isiwe kwenye vitu vya msingi?

Kwanini utume hela ya kuomba vocha? Kwanini usimuambie man wako akufungulie genge upate hiyo hela ya vocha na saluni?
 
Back
Top Bottom