kutekelezwa kwa mtoto, tukutane hapa kwa tuliokumbwa na hili jambo

kitalembwa

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
2,870
7,171
Wasalaamu JF, na wana MMU,,,,,happy56indepence

Back to the topic, Mnamo mwaka 2010-2012, kuna shule moja hivi (boarding) ipo mkoani morogoro nilisoma masomo ya A-level, hiyo shule ni boys tu.... kama mjuavyo hali halisi ya shule za jinsia moja zilivyo na changamoto, ukizingatia umri pia unachangia, hiki ni miongoni mwa kipindi ambacho mwili unakua na mihemko hasa swala la mahusiano kwa ujumla... ukizingatia hayo na shule ni ya boarding lazma unajikuta umetafuta hifadhi/kipoozeo kwa shule zilizo jirani na shule yenu ama wanawake wengine wa mitaani ambao ni majirani pia nakumbuka walikua wanatushobokea sana walikua wanahisi tuna hela sana kumbe wapi, na wengine wanaangukia kwenye mchezo mchafu wa punyeto....

sasa katika pita pita kuna dada mmoja alikua ni fundi wa nguo, kwa kumkadiria tulikua sawa kiumri au nilimpita kidogo(alikuwa ni form four leaver ndio akajiendeleza na masomo ya ufundi), alikua ndo ametoka mafunzo kwa hiyo nae akaamua kujiajiri kwa kununua mashine yake na kuanza kazi.... alikua amepanga chumba cha kuishi kwani hakua mwenyeji wa lile eneo.... na alikua anapata sana tenda zetu wanafunzi kwani kipindi hicho model zlikua ndio zipo hot sana, japo shuleni walikua wanakataza sana lakini tulikua tunavaa kibishi, kwa hiyo tulikua
tunampelekea sana suruali zetu akawa anazipunguza, nakumbuka kipindi tupo form six mwishoni niliingia nae kwenye mahusiano yasiyo rasmi (hayakua na malengo), ikawa full migegedo kama kawaida... kipindi tunakaribia mitihani ya final (2012 january) aliniambia ni anahisi ni mjamzito, nkamwambia kapime akaenda akakuta ana ujauzito,nadhani alikuwa kama na wiki sita kuelekea saba, sasa ukizingatia ubize wa mitihani iliyokuwa mbele yangu na aina ya michepuo niliyokuwa nasoma nilijikuta kidogo nakuwa bize, ikwa kuonana ni mara chache sana, kiufupi ile mimba nilikua na mashaka nayo, nilikubali shingo upande, lengo langu lilikua nisimkatishe tamaa kwa kuikataa ili asiwaze mambo mabaya mfano kuichoropoa, nafsi yangu iliniambia nisubiri mtoto azaliwe nimuone sura ikishindikana tutafanya DNA test. Nilifanikiwa kumaliza mitihani salama na kufanya clearance na kurudi nyumbani mkoani kwangu.... yule dada tuliendelea kuwasiliana mpaka anafika miezi saba kwenda nane, na updates za clinic na ujauzito wake kwa ujumla alikua ananipa,. Ghafla mawasiliano yakakata baina yatu, akawa hapatikani hewani, kila nikimtafuta nikawa simpati hewani, sasa kufikia mwezi wa nane 2012, ambao nilikuwa nafanya maandalizi ya chuo, nikarudi pale shuleni kuchukua result slip, sikumkukuta na nilipouliza majirani wakasema alishahama siku nyingi, nikapiga moyo konde nikaendelea kumtafuta hewani bila mafanikio, mwaka 2015 nikaenda tena pale shuleni kufuata cheti cha form six nikaendelea kumuulizia hapakua na dhalili za uwepo wake... hapa nawaza alienda wapi ? alijifungua salama ? mtoto ni wangu kweli ? je aliamua kuolewa na kumdanganya bwana mwingine huo ujauzito na kuamua kukata mawasiliano nami ? sijawahi kubadili namba za simu tangia kipindi hicho, najipa moyo siku moja atanitafuta. J kama unasoma hapa kwa maelezo hayo utakua umenipata, tafadhali nipigie kwa namba zile zile, au ni pm kama ulipoteza namba.
Naumia sana sijapata haki ya kumuona mwanangu na sina matumaini ya kumuona hayapo, nimeamua kushare nanyi huu mkasa, kuna ambaye hali kama yangu ilishamtokea ? ilikuwaje ?
 
Mimi wakati naanza kazi kuna kadada fulani kalikuwa kanaleta msosi ofisini,kakawa kanapenda kunitania eti mi mtoto alafu na cheo kikubwa pale ofisini(kisa sina ndevu) kuna siku week end kakanipigia eti tuonane kanataka kupajua kwangu mbaya zaidi nilikuwa nipo sebuleni nakunywa wine huku naangalia TV SERIES inaitwa TYRANT mi nikajua kanatania tu kwenye sms,kama masihara si nasikia mlango unagongwa kufungua ni kenyewe,kumbe kameulizia mi nimepanga wapi(Wakati naanza kazi).Kwa ujinga wake kakajiunga kwenye yale ma wine na mbaya zaidi demu wangu ambae niliekuwa namkubari alikuwa Dar so nilikua nimekusanya mi nye.ge ya kufa mtu si tukajikuta tumezini Kalivyo kajinga baada ya miezi miwili nikashangaa hakaji tena ofisini na hakipatikani kuja kunitafuta ni miezi kama mitano mbele eti kinasema kina mimba yangu na kipo mkoa wa jirani na hakina mpango wa kutoa nikaona doo maji mazito kuliko damu ya ROMA mkatoliki baada ya muda kikanipigia kikasema eti kimezaa mtoto wa kike na card clinic kimeandika jina langu kwa upole nikawa nakubari kila kitu KILICHOFUATA SASA...................SIJUI NIMALIZIE AU NIKAUSHE?
 
Huyo mtoto.mwite "WINE" ROONEY au kama vipi mwite Joseph pombe
 
Nilizaa na demu mvuta bangi siku tugagombana akaniambia chukua time kwanza huyu mtoto sio wako na nikiangalia sura yangu kabisa,nilichofanya ni ile ambush ya FBI au ya wasiojulikana,yule mtoto nilimteka akiwa anacheza na wenzake akiwa na umri wa miaka 3 ,leo ni binti mkubwa,yule mvuta bangi hajui kilichotokea mpaka leo,
 
Wasalaamu JF, na wana MMU,,,,,happy56indepence

Back to the topic, Mnamo mwaka 2010-2012, kuna shule moja hivi (boarding) ipo mkoani morogoro nilisoma masomo ya A-level, hiyo shule ni boys tu.... kama mjuavyo hali halisi ya shule za jinsia moja zilivyo na changamoto, ukizingatia umri pia unachangia, hiki ni miongoni mwa kipindi ambacho mwili unakua na mihemko hasa swala la mahusiano kwa ujumla... ukizingatia hayo na shule ni ya boarding lazma unajikuta umetafuta hifadhi/kipoozeo kwa shule zilizo jirani na shule yenu ama wanawake wengine wa mitaani ambao ni majirani pia nakumbuka walikua wanatushobokea sana walikua wanahisi tuna hela sana kumbe wapi, na wengine wanaangukia kwenye mchezo mchafu wa punyeto....

sasa katika pita pita kuna dada mmoja alikua ni fundi wa nguo, kwa kumkadiria tulikua sawa kiumri au nilimpita kidogo(alikuwa ni form four leaver ndio akajiendeleza na masomo ya ufundi), alikua ndo ametoka mafunzo kwa hiyo nae akaamua kujiajiri kwa kununua mashine yake na kuanza kazi.... alikua amepanga chumba cha kuishi kwani hakua mwenyeji wa lile eneo.... na alikua anapata sana tenda zetu wanafunzi kwani kipindi hicho model zlikua ndio zipo hot sana, japo shuleni walikua wanakataza sana lakini tulikua tunavaa kibishi, kwa hiyo tulikua
tunampelekea sana suruali zetu akawa anazipunguza, nakumbuka kipindi tupo form six mwishoni niliingia nae kwenye mahusiano yasiyo rasmi (hayakua na malengo), ikawa full migegedo kama kawaida... kipindi tunakaribia mitihani ya final (2012 january) aliniambia ni anahisi ni mjamzito, nkamwambia kapime akaenda akakuta ana ujauzito,nadhani alikuwa kama na wiki sita kuelekea saba, sasa ukizingatia ubize wa mitihani iliyokuwa mbele yangu na aina ya michepuo niliyokuwa nasoma nilijikuta kidogo nakuwa bize, ikwa kuonana ni mara chache sana, kiufupi ile mimba nilikua na mashaka nayo, nilikubali shingo upande, lengo langu lilikua nisimkatishe tamaa kwa kuikataa ili asiwaze mambo mabaya mfano kuichoropoa, nafsi yangu iliniambia nisubiri mtoto azaliwe nimuone sura ikishindikana tutafanya DNA test. Nilifanikiwa kumaliza mitihani salama na kufanya clearance na kurudi nyumbani mkoani kwangu.... yule dada tuliendelea kuwasiliana mpaka anafika miezi saba kwenda nane, na updates za clinic na ujauzito wake kwa ujumla alikua ananipa,. Ghafla mawasiliano yakakata baina yatu, akawa hapatikani hewani, kila nikimtafuta nikawa simpati hewani, sasa kufikia mwezi wa nane 2012, ambao nilikuwa nafanya maandalizi ya chuo, nikarudi pale shuleni kuchukua result slip, sikumkukuta na nilipouliza majirani wakasema alishahama siku nyingi, nikapiga moyo konde nikaendelea kumtafuta hewani bila mafanikio, mwaka 2015 nikaenda tena pale shuleni kufuata cheti cha form six nikaendelea kumuulizia hapakua na dhalili za uwepo wake... hapa nawaza alienda wapi ? alijifungua salama ? mtoto ni wangu kweli ? je aliamua kuolewa na kumdanganya bwana mwingine huo ujauzito na kuamua kukata mawasiliano nami ? sijawahi kubadili namba za simu tangia kipindi hicho, najipa moyo siku moja atanitafuta. J kama unasoma hapa kwa maelezo hayo utakua umenipata, tafadhali nipigie kwa namba zile zile, au ni pm kama ulipoteza namba.
Naumia sana sijapata haki ya kumuona mwanangu na sina matumaini ya kumuona hayapo, nimeamua kushare nanyi huu mkasa, kuna ambaye hali kama yangu ilishamtokea ? ilikuwaje ?
Mimba haikuwa yako mkuu.yuko na mzazi mwenzie wanalea mtoto
 
Back
Top Bottom