Mtoto wa kike akipenda,anaweza akakuletea kichaa nyumbani.

Wazazi vumilieni ila kama umri unaruhusu mwache aolewe japo anachagulia watoto wake aina za wajomba na mashangazi wa sampuli hiyo
 
Mapenzi ni upofu usisahau hilo tunao wawaza sio tulio nao na wanaotuzunguka sio wa mioyo yetu bali tu wangaikao nao sio wa mioyo yao
 
nadhani sio mtoto wa kike peke tu juu ya hili

kwa ufupi tu kuna times mapenzi ni ukichaa mtu akipenda awe wa kike au wa kiume anakuwa kama haoni wala kufikiria vizuri,

ni kumwomba Mungu sana kijana wako au binti yako asifikie kweny steji hii maanake ni hatari sana, inaumiza sana pale unapoona kabisa mwanao amebugi na amefanya the worst choice ila ye ndo haambiliki,jamani inaumaaaa unamwona kabsia vile mwanao anaenda kujidumbukiza kwenye shida nzito ila huna namna ya kumsaidia umeongeeaaa wee maneno yameisha,umesihii we hakuna kilichobadilika,bhagosha.
 
Back
Top Bottom