Mabinti waliozaliwa familia zenye uwezo ndio wenye mapenzi ya dhati

Gluk

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
1,856
2,953
Habari.

Nimejaribu kufanya utafiti wangu kwa muda sasa kuhusu aina mbili za mabinti waliozaliwa familia zenye uwezo au wale wenye uwezo wa kipesa uliosimama wasio na maisha ya kuunga unga na super glue.

Mosi, mabinti hawa hata unapoongea nao wanaongea point zaidi na wana uwezo mkubwa wa kufikri zaidi.

Pili, hawa wengi wao akikukubali kamanisha na akikata pia kamanisha wengi wao sio sitaki nataka.

Tatu, ukiwa naye hawana zile mara nitumie vocha, nataka kusuka, sijui nitumie nauli.

Sasa ukija kwa hawa wa kwetu huku kwa Mbiku maji matitu. Ambao kazi za maana wala kipato cha kueleweka hawana.

Aina hii ya wasichana ni rahisi sana kuwapata na hata ukimpata huwezi jua kama kakupenda au kakutamani. Kifupi hawana msimamo thabiti

Hitimisho langu: ni kwamba kama unataka Mapenzi yaliyonyooka kwa kiasi fulani ni kheri kama kijana ukaachana na hawa chausiku na mwajuma ndala ndefu na kuanza date na wale wanaojielewa zaidi na wenye uchumi uliosimama kidogo.

Angalizo: Ili kijana upate mwenye hadhi hiyo na wewe inakubidi na wewe usiwe tia maji tia maji Vijana tusake pesa kwa nguvu zote.
 
Naunga mkono hoja, watoto waliotoka familia zenye mipunga sio wanafiki katika mahusiano. Hawezi kukusaliti akiwa ameridhia kuwa na wewe tofauti na wale wenye njaa njaa za kiduanzi.

Demu mwenye njaa na aliokuja maishani mwako ili umfae kwa dhiki sio patner wa hali zote huyo...Kizungu tunaita "ride or die"
siku umate umate ukikata nayeye anafungua tawi jipya sehemu ingine. Ishort hawanaga misimamo.

Kingine ndio wanaongoza kwa usaliti. Anaweza kufanya hivyo for some selfish reasons aidha ulimbukeni au kwa njaa ya kitu flani.
 
Mama yako alikua ni mtoto wa kishua wakati anaolewa (kama aliolewa)? Je ndoa yake ilidumu? (Kama aliolewa)
Kama hakua mtoto wa kishua na aliolewa je baba yako ni mbulula kumuoa mama yako ambaye ni mtoto wa mlala hoi??
Mwisho wa siku kila shetani na mbuyu wake
 
Habari.

Nimejaribu kufanya utafiti wangu kwa muda sasa kuhusu aina mbili za mabinti waliozaliwa familia zenye uwezo au wale wenye uwezo wa kipesa uliosimama wasio na maisha ya kuunga unga na super glue.

Mosi, mabinti hawa hata unapoongea nao wanaongea point zaidi na wana uwezo mkubwa wa kufikri zaidi.

Pili, hawa wengi wao akikukubali kamanisha na akikata pia kamanisha wengi wao sio sitaki nataka.

Tatu, ukiwa naye hawana zile mara nitumie vocha, nataka kusuka, sijui nitumie nauli.

Sasa ukija kwa hawa wa kwetu huku kwa Mbiku maji matitu. Ambao kazi za maana wala kipato cha kueleweka hawana.

Aina hii ya wasichana ni rahisi sana kuwapata na hata ukimpata huwezi jua kama kakupenda au kakutamani. Kifupi hawana msimamo thabiti

Hitimisho langu: ni kwamba kama unataka Mapenzi yaliyonyooka kwa kiasi fulani ni kheri kama kijana ukaachana na hawa chausiku na mwajuma ndala ndefu na kuanza date na wale wanaojielewa zaidi na wenye uchumi uliosimama kidogo.

Angalizo: Ili kijana upate mwenye hadhi hiyo na wewe inakubidi na wewe usiwe tia maji tia maji Vijana tusake pesa kwa nguvu zote.
sasa majina ya watu yameingiaje hapo, hao chausiku na mwajuma???
 
mkuu nikue mara ngapi nimekua na nimejionea haya niyasemayo, mabinti wanaokuja katika maisha yako ili umfae katika shida zake ni wanafiki namba moja.
Chukua taadhari hao watoto ni uncontrollable na wakifanya maauzi wanayasimamia. Omba Mungu awe head over heels kwako, utamburuza. Otherwise you are in a deep shit. Been there, done that.
 
Unadhani unatutisha!!!!!
Maana tunajua wa kishua wana hivi vifuatavyo;
Sura na maumbo yao wengi wamerithi kwa baba na wajomba zao,

Shughuli yao kitandani ni tia maji tia maji

Kupika ni ziiiro

Kulea mume na watoto hawajui sababu wao wamelelewa na maids

Hawawezi kuziishi changamoto na mikiki mikiki ya mapenzi wala maisha

Kichwani kwao wengi vilaza

Sio watamu

Utii na heshima kwao ni sifuri,,,

Team kufulia wataongezea nyinginezo,,

Hitimisho, mwanaume anahitaji kinyume ya vitu hivyo kutoka kwa mwanamke na vitu hivyo vinapatikana kwa kina mwajuma ndala ndefu wa huko uswazi,, Sasa kaka tutishike na Nini, utachota kwa wa kishua utakuja uswazi kuhonga yote
 
mkuu utafiti wako hauna uhalisia kabisa, wanawake wote wanapiga vizinga bila kujali ni wakishua or maskini, mwanamke asiekupiga mizinga ujue huyo anakupenda na hii haimanishi ni wa kishua or maskini.

nakushauri uendelee na utafiti mda mrefu zaidi ili upate uhalisia zaidi.
 
Unadhani unatutisha!!!!!
Maana tunajua wa kishua wana hivi vifuatavyo;
Sura na maumbo yao wengi wamerithi kwa baba na wajomba zao,

Shughuli yao kitandani ni tia maji tia maji

Kupika ni ziiiro

Kulea mume na watoto hawajui sababu wao wamelelewa na maids

Hawawezi kuziishi changamoto na mikiki mikiki ya mapenzi wala maisha

Kichwani kwao wengi vilaza

Sio watamu

Utii na heshima kwao ni sifuri,,,

Team kufulia wataongezea nyinginezo,,

Hitimisho, mwanaume anahitaji kinyume ya vitu hivyo kutoka kwa mwanamke na vitu hivyo vinapatikana kwa kina mwajuma ndala ndefu wa huko uswazi,, Sasa kaka tutishike na Nini, utachota kwa wa kishua utakuja uswazi kuhonga yote

Kama dj cuppy mtoto wa femi otedola kule Nigeria, dooh yule dada ni wa kishua haswa, ila si mzuri kabisa, ana sura ya kawaida hlf shape ni mbovu

Ila naona Hujamwelewa mtoa Mada, anachotaka kusema ni kuwa ukiona Dada wa kishua kakupenda ujue kakupenda kweli, lyk hajakupendea hela, kazi au status ulio nayo, coz hivo vitu vipo kwao. Noelia
 
mkuu wewe umenielewa kwa usahihi nilichomanisha, kifupi sio malimbukeni wa maisha mazuri sababu wamekulia katika maisha mazuri au wanaishi maisha mazuri.
 
Kama dj cuppy mtoto wa femi otedola kule Nigeria, dooh yule dada ni wa kishua haswa, ila si mzuri kabisa, ana sura ya kawaida hlf shape ni mbovu

Ila naona Hujamwelewa mtoa Mada, anachotaka kusema ni kuwa ukiona Dada wa kishua kakupenda ujue kakupenda kweli, lyk hajakupendea hela, kazi au status ulio nayo, coz hivo vitu vipo kwao. Noelia
Nimemuelewa vizuri tu, lazima ajifanye kakupenda ili kuziba mapungufu yake aliyonayo
 
Back
Top Bottom