zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Tabia na maisha ya watu yanatofautiana kutokanana na mazingira waliyopo wahusika ila kwa wenzetu wao wana upendo wa dhati nadhani.
Juzi nimetazama habari, katika ndege moja huko ughaibuni mwanaume alidiriki kumpisha mkewe seat ilimradi alale kwa kujinafasi kwasababu ya ufinyu wa viti vya ndege isingetosha kwa mkewe kulala.
Sasa Je kwetu hapa ni wanaume wachache wenye upendo wa namna hiyo ule ni upendo usiomithirika.
Nadhani iwe funzo kwetu kutazama uhalisia wa mapendo ya wenzetu kwa wake, wachumba au watoto wao.