Ushauri wa bure kwa wadada wote

Matanga

JF-Expert Member
Nov 13, 2019
2,281
3,973
Wadada sikilizeni.

Kile kitendo cha kumkatalia Mwanaume kufanya tendo la ndoa wakati ndo kwanza mmeanza kufahamiana aisee mnafanyaga jambo jema Sana, tena nasema mnafanyaga maamuzi sahihi kabisa lakini kile kitendo cha kuomba pesa na kumweleza boy wako matatizo yako yanayohitaji pesa wakati ndo kwanzaaa mmeanza mahusiano, sasa hapa ndio mnakoseaga sana, yaaani mnakosea sana aiseee.

Kwasababu kama mna akili za kutambua kua kutoa penzi mapema ni makosa, kwanini hamtambui kuomba pesa mapema ni makosa pia?
 
Wanadai eti unataka penzi mapema hivo wakati hatujafahamiana vzr, ila kwenye kuomba hela hakuna kufahamiana vizuri doooh !
Unamuomba gemu anakujibu usiwe na haraka, baada ya dakika ishirini simu inamulika kuashiria kuna sms imeingia,maskini hata namba ilikuwa haijaseviwa na jina, ile kuifungua tu... "Bebi, nina shida na hela nisaidie pulizzz"

Kwa hasira unaisevu namba yake kwa jina la "Fuko nyingine 1"
 
Hahahahahahaa
 
Ankoo toeni msisubiri kuombwa
 
Unamuomba gemu anakujibu usiwe na haraka, baada ya dakika ishirini simu inamulika kuashiria kuna sms imeingia,maskini hata namba ilikuwa haijaseviwa na jina, ile kuifungua tu... "Bebi, nina shida na hela nisaidie pulizzz"

Kwa hasira unaisevu namba yake kwa jina la "Fuko nyingine 1"
Unamjibu, "usiwe na haraka". Kwani mnakwama wapi?
 
Unamuomba gemu anakujibu usiwe na haraka, baada ya dakika ishirini simu inamulika kuashiria kuna sms imeingia,maskini hata namba ilikuwa haijaseviwa na jina, ile kuifungua tu... "Bebi, nina shida na hela nisaidie pulizzz"

Kwa hasira unaisevu namba yake kwa jina la "Fuko nyingine 1"
hahahahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom