Hapa nataka kupigwa au kuibiwa

Hapa nataka kupigwa au kuibiwa

Midazolam

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
807
Reaction score
1,349
Wakuu naona nikimbilie huku tusaidiane kabla sijapigwa hela.

Mwanamke nilikutana kwenye mtandao yuko Miami USA

Nimejaribu kumpima nimtumie hela anunue eti hataki hela Mimi nimnunulie through mtandao

Screenshot_20200916-154644.jpg
 
Mkuu ushabugi, hapo ni neither online nor sending kwa account! Hapo umeliwa!
 
Kipigo Cha Mbwa Ko Ko

Jiongezeni
Kaa Mbali Na Majambazi 😁😂🤣
 
nenda grabify, tengeneza link halafu intergrate na link ya moja ya products anazotaka then mtumie link, akiclick tuu utajua yupo wapi.
 
Wakuu naona nikimbilie huku tusaidiane kabla sijapigwa hela.

Mwanamke nilikutana kwenye mtandao yuko Miami USA

Nimejaribu kumpima nimtumie hela anunue eti hataki hela Mimi nimnunulie through mtandao

View attachment 1571493
Hao jamaa ni noma sana.
Kuna siku na mimi nilimpataga kama huyo Insta akaniambia kwao USA ila ametumwa kwenda baghdad kulinda amani yeye ni askari na kila siku akawa ananitumia picha amevaa kombati.
Akanipa namba zake za whatsapp zina code number za USA.
Ila alinikuta mtu mwenyewe ni mjanja hakuambua kitu nikastukia mtego.
Na hizo picha zake ni bonge la toto ukiwa na wenge lazima upigwe.
 
Nigeria noma nasikia kuna vijana wanaajiliwa kabisa kwa ajili ya kutapeli watu mtandoani
Sasa kalaga bao..!!
 
Hao jamaa ni noma sana.
Kuna siku na mimi nilimpataga kama huyo Insta akaniambia kwao USA ila ametumwa kwenda baghdad kulinda amani yeye ni askari na kila siku akawa ananitumia picha amevaa kombati.
Akanipa namba zake za whatsapp zina code number za USA.
Ila alinikuta mtu mwenyewe ni mjanja hakuambua kitu nikastukia mtego.
Na hizo picha zake ni bonge la toto ukiwa na wenge lazima upigwe.

Huyu hakuokota box la the waasi lenye dhahabu na hela huko baghdad?? Hakuanza mpango wa kukutumia wewe?
 
Back
Top Bottom