Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hii ni nzuri kidogo na inaeleweka. Mkuu kama unaona maisha yako ni ya uchumi wa kipato cha kati na unaendekeza kugawa pesa kwa wanawake kamwe hutokuja kuendelea. Utabakia hapohapo. Wanawake...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwenye maisha ya kila siku tunakuwa tunakutana na watu mbalimbali kuna time tunahitaji majibu ya ukweli especial kwenye mahusiano. Hizi ni alama za kutambua kama mtu anadanganya. 1. If he raises...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba ufafanuzi kwa hawa wanawake wenye tabia hizi. Utakuta mwanaume amekutana na mwanamke,,mfano popote pale, kidume kikaanza kutongoza hadi kupelekea kukubaliana. Pengine hata...
5 Reactions
44 Replies
9K Views
Habari za leo wakuu. Wakuu hivi mmegundua kwamba taifa linaangamia na kupotea nguvu kazi ya kike inapotea kabisa wakuu. Hawataki kufanya kazi, wanasubili watongozwe ili waanze kuomba pesa za...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Tuna mwaka sasa hatuna mawasiliano mazuri yani kila mtu anaendesha life lake, nikijikeep busy ananitafuta message zake sasa oh nimekumiss mara nilitaka uje huku mkoani ninakoishi maana tunaishi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari JF. Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2 Million but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia. Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
12 Reactions
173 Replies
14K Views
Jamani mimi nauliza ni sheria gani inayokataza msichana ambaye yuko sekondari kuwa na uhusiano ambao ameridhika nao(consensial relationship) na mvulana/mwanaume. inasemaje semaje?
1 Reactions
28 Replies
10K Views
nimechumbia upareni hayo ndo yamenikuta.. mchumba anataka mahari ipelekwe na mtu mmoja na wapokeaji na mama yake na dada zake. simeshangaa lkn naomba mnipe uzoefu ndugu zanguni jamani niko njia panda!
0 Reactions
62 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa utafiti wangu. Wadada wanapenda kuzaa watoto weupe hata kama wao ni weusi tii kama mkaa.
7 Reactions
97 Replies
19K Views
Wakuu kumradhi sija wa criticize dada zetu, mama zetu, au shangazi zetu wafupi. Ila katika nafsi ya mtu kila mmoja ana kitu kinachomvutia zaidi. Binafsi navutiwa sana na wadada warefu na wenye...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
guest-1793747943
kumekuwa na ongezeko la uhitaji wa chumvi kwenye chakula katika muda wa kula na kujimegea mapochopocho, lakini kumekuwa na swali kubwa sana kwa walaji, je utajuaje kama msosi umekolea chumvi ya...
11 Reactions
31 Replies
4K Views
Hivi kuna mtu anapenda Mademu wembamba au mimi tu? Wembamba wazuri, mamanzi wengi wembamba nikiwaona nawaona wazuri. Manzi mwembamba akivaa suruali ya kibana zile paja zinavyochongeka zinavutia...
20 Reactions
163 Replies
23K Views
Kwenye mapenzi kuna zile up and down hilo ni swala la kawaida tu kutokea kwenye mapenzi sababu huwezi kuna na furaha milele! Sema mapenzi yakuachana kisha kurudiana kwangu mimi ni big no...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wapendwa habari ya jioni ................ leo jion natoka zangu kwenye mizunguko yangu nikapigiwa simu na mpenzi wangu ambae tupo mbali yeye yupo mkoa mwengine na mimi mkoa mwengine baada ya...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Msichana kama anakupenda kweli hawezi kukuomba omba pesa. Ukimuona binti anakupenda wewe kwa sababu unampa sana pesa, hapo hupendwi wewe bali zinapendwa pesa zako. Usijidanganye kwamba unapendwa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyo sema wakuu, kumekuwa na maneno mengi kuwa zile nyakati za mtu kupenda kupindukia zimesha pitwa na muda. Eti wanadai siku hizi mapenzi yamekuwa bora liende tu ili kusogezeana...
3 Reactions
100 Replies
6K Views
Waku, Kuna huyu mchuchu wangu huyu Jana usiku tukawa tunachati. Kama saa nne hivi usiku, akaniaga kuwa 'Mjina nalala love, kesho kazini mapema.' Baada ya dk km kumi hivi, nikaona tena txt...
22 Reactions
57 Replies
8K Views
Kuna tatizo linanisumbua ni week ya tatu sasa. Nmesafiri kikazi nipo sehemu ya mbali kidogo. Nlifanikiwa kusafiri na secretary ambaye tuna mahusiano ya kimapenzi. Huku tuliko tunatakiwa kukaa...
7 Reactions
66 Replies
9K Views
Ndudu wana jukwaa ni kwamba ni rafiki yangu ambaye kazi yake ni mvuvi wa samaki, amekuja kwangu kuomba msaada wa kimawazo kuwa yeye alitoka kwenda kuvua samaki, familia yake akawa ameiacha...
1 Reactions
61 Replies
7K Views
Wakuu, Ujue hawa viumbe, yaani jinsia ya kike, nmekuja gundua wana utofauti mkubwa sana na sis wanaume, hata wafanyeje.. Kwa asili mwanamke ana huruma (usipomkera lakini) na ndio maana wanatulea...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
Back
Top Bottom