Wadada mjifunze hili

Wadada mjifunze hili

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
Habari za jioni Wana wa Adam na Eva,

Bana kuna jambo nimemsikia mtu hapa jirani yangu ikabidi nikumbuke kitu. Hapo nyuma nilikuwa na mpenda binti flani Sanaa,Ila ikatokea akahama mkoa nilio kuwa na ishi na mawasiliano yakapotea,alikuwa yake.maisha yanaendelea Ila moyoni mwake alijua nikiasi gani nilikuwa na mpenda rafiki yake.

Basi katika kunipima Pima Imani ili ajue still bado nampenda rafiki yake. Akampa number shosti ake kwamba achati na Mimi akijafanya Ni yule rafiki take aone ntapokeaje. Basi demu aliepewa kazi akawa ananichatisha sanaa, na kujifanya ni yule girl wangu wa zamani Ila Mimi nilimtilia shaka, sababu kuna vitu nikawa na muuliza akawa anashindwa kunijibu kisahihi.

Basi bana kumbe dada nae chatting zimemnongea akawa Sasa hamuonyeshi Tena msg, ikafika kipindi yule girl wangu akaniambia live alikua ananipima na hataki tena niendele kuchat na ile number
 
Basi bana,yule demu kanogewa na Mimi baada ya kumjua nikakausha Kama sijui,mwishoni tuaanza kupigiana simu tunaongea usiku,plus kunyegeshana nikaombaa mgegedo,tukakibaliana tuondoke twende njee ya mji,basi kukata story fupi kilifanyika kilocho fanyika na huyu girl wangu akajua na kuanza beef na rafiki take Ila nilimwambia umeyataka mwenyewe,mtu hata siku wai kufikiria unamuingiza box anijaribu.
 
Ohhh....
Kama ni dem, sina lakusema.
Lakini Kama ni mke pengine ningesema neno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom