Hivi nyie wanawake mnaotoa namba za simu za wanaume wenu badala ya namba zenu mawaza nini?

mwandende

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
10,518
19,883
Habari wakuu,

Naomba ufafanuzi kwa hawa wanawake wenye tabia hizi. Utakuta mwanaume amekutana na mwanamke,,mfano popote pale, kidume kikaanza kutongoza hadi kupelekea kukubaliana.

Pengine hata offer ya chakula na vinywaji akapokea, mwisho wa siku unamuomba namba za simu, anatoa namba za simu za bwana wake, inashangaza sana.

Hii imenikuta zaidi ya Mara kumi, sasa najiuliza kama mwanamke ulikuwa uhitaji mwanaume, kwanini ulisema upo single?
Na kwanini ulionyesha support kubwa kwenye maongezi yetu? Sasa sijuwi tatizo nini? Kwa hawa wanawake wenye tabia hizi ni ushamba au ulimbukeni wa mapenzi?

Mnasababisha usumbufu sana kwetu
 
0C973EFB-E43E-42D6-85CF-E5EF6DE4D3CB.png
 
Wengine hutoa mpaka za bibi zao ile unapiga unakutana na kilugha angalia usije fuatiliwa
Kweli mkuu,,maana Jana nimepiga simu usiku kapokea jamaa,,
Duu,,,nikasema sorry wrong number,,,nikakata simu.
Jamaa akapiga tena,,akauliza unataka kuongea na nani?nikamwambiya sorry nimekosea namba ,,,kuna boda boda nilikosea kusave namba zake,,,au na ww ni boda boda?kuna mrembo mmoja nataka umfate sehem umlete kwangu..jamaa akakata simu... nikaokoka kwa style hyo... nashindwa kuwaelewa hawa wanawake wa aina hii,,,tatizo nn?kwani akisema nimeolewa au nipo na mtu ,,itakuwaje?kwann watoe namba za waume zao?mnatupa usumbufu mkubwa sana wa kujieleza
 
Kama umepewa namba za mabwana wa watu zaidi ya mara kumi basi wewe ni malaya uliyekosa akili. Inaonyesha kila mwanamke unayekutana naye unamtamani na ni lazima umuombe namba yake
Mkuu kwa umri wangu nilionao nimeshatongoaza zaidi ya Mara 1000,,nimewapata 600,, nimetoswa 200 ,,nimepewa namba feki kibao na kupewa namba za mabwana zao kibao,,
Kumbuka mwanaume kuwa na wanawake wengi sio umalaya ,,bali ni urijali
 
Back
Top Bottom