Kiukweli mwanamke anatakiwa kutritiwa kama malkia, wazungu wanajitahidi sana

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,959
Wakuu,

Ujue hawa viumbe, yaani jinsia ya kike, nmekuja gundua wana utofauti mkubwa sana na sis wanaume, hata wafanyeje..

Kwa asili mwanamke ana huruma (usipomkera lakini) na ndio maana wanatulea miezi 9 na zaidi, kutunyonyesha etc.

Hawa viumbe wanahitaji matunzo, kunyenyekewa etc. Naonaga wazungu wanajitahidi, yaani mzungu anaweza kuwa kama bwege kwa mkewe au dem wake. Mfano, kumfungulia mlango wa gari, kumpikia, kumvalisha viatu, kumpet pet kila mara, kumpa vitu anavyotaka n.k.

Ni vile uchumi tu ila kiukweli mwanamke kaumbwa kutunzwa.

NB: Sasa mkijua haya sio ndio mvuruge sasa. Mtu akuhudumie halafu ukatoe papuchi kwingine!
 
1. Kunyenyekewa
2. Kumfungulia mlango wa gari
3. Kumpikia
4. Kumvalisha viatu
5. Kumpet pet.

Hivi babulai haya mambo unakuwa unayafanya kila siku?

Love is the overratted shit.
 
1. Kunyenyekewa
2. Kumgungulia mlango wa gari
3. Kumpikia
4. Kumvalisha viatu
5. Kumpet pet.

Hivi babulai haya mambo unakuwa unayafanya kila siku?

Love is the overratted shit.
Mara 1 moja mkuu,kila siku huwez,ila kuna zile basics za kila siku,mfano kumkiss kila siku unapoenda kazin na ukirud,kumsifia,kumfungulia mlango wa gar,etc...sasa ufanye haya yote af alete use**nge hapo sasa hakuna namna.
 
Wakuu,

Ujue hawa viumbe, yaani jinsia ya kike, nmekuja gundua wana utofauti mkubwa sana na sis wanaume, hata wafanyeje..

Kwa asili mwanamke ana huruma (usipomkera lakini) na ndio maana wanatulea miezi 9 na zaidi, kutunyonyesha etc.

Hawa viumbe wanahitaji matunzo, kunyenyekewa etc. Naonaga wazungu wanajitahidi, yaani mzungu anaweza kuwa kama bwege kwa mkewe au dem wake. Mfano, kumfungulia mlango wa gari, kumpikia, kumvalisha viatu, kumpet pet kila mara, kumpa vitu anavyotaka n.k.

Ni vile uchumi tu ila kiukweli mwanamke kaumbwa kutunzwa.

NB: Sasa mkijua haya sio ndio mvuruge sasa. Mtu akuhudumie halafu ukatoe papuchi kwingine!
Kwani wewe unaye mwanamke umayemfanyia hayo yote alafu akatulia? Kwa mtazamo wangu, siyo wanawake wote ambao ukiwafanyia hayo yote ya kissing, kusifia na kufungua milango wataona unawapenda au kuwajali au kuwa waaminifu Kwa mwanaume. Wanawake wengine hata uwape ndege ni bure tu..ataeanda gawa papuchi kwa mtu fulani.
Ndiyo tunatakiwa Ku treat mwanamke kama chombo dhaifu au heshima zote unazozijua wewe, lakini haina maana atakuwa mwaminifu kwako.
Divorce rate za wazungu unao wasifia ziko juu kuliko za waafrika. Wenzetu wazungu mwanamke ndiye mwenye power kisheria. Mume ukileta ujinga mke anauwezo wa kukufukuza kisheria katika nyumba na hiyo kesi hutoshinda.

Emanuel Aboue aliyekuwa mchezaji wa Arsenal katimuliwa na mke wake hivi karibuni kama mbwa. Mali na pesa zote amechukua mke wa kizungu. Pia, haruhusiwi kuona watoto. Emmanuel kabakia analia na akilala chini katika nyumba ya rafiki yake. Wazungu hizo kisses zao zinaweza kukutokea puani ukujuta kama Emmanuel.
 
Hiyo ya EMMANUEL EBOUE ni kwa sababu bado ya moto moto! THIERY HENRY alipokuwa Highbury alikuwa na mke na Mtoto mmoja, THEA! Walihitilafiana na yule mkewe! Kesi kwenda Mahakamani, Mrs alikomba nusu ya utajiri wa Henry!

Kitu kizuri Henry alikuwa bado anacheza soka, na aliendelea kuwa na mikataba mpk Barcelona na USA, so hakuadhirika kama anavoadhirika Eboue!
 
Kabisa. Ndugu zetu wabongo wanapoona wazungu wanakulana denda wanaona wanapendana saana, kumbe fake love! Hayo mambo ya wazungu kubusu, kufungua milango ni culture yao, lakini siyo wote wanavifanya hivyo. Divorce rate za wazungu zinaongoza duniaani unfortunately.
 
Wakuu,

Ujue hawa viumbe, yaani jinsia ya kike, nmekuja gundua wana utofauti mkubwa sana na sis wanaume, hata wafanyeje..

Kwa asili mwanamke ana huruma (usipomkera lakini) na ndio maana wanatulea miezi 9 na zaidi, kutunyonyesha etc.

Hawa viumbe wanahitaji matunzo, kunyenyekewa etc. Naonaga wazungu wanajitahidi, yaani mzungu anaweza kuwa kama bwege kwa mkewe au dem wake. Mfano, kumfungulia mlango wa gari, kumpikia, kumvalisha viatu, kumpet pet kila mara, kumpa vitu anavyotaka n.k.

Ni vile uchumi tu ila kiukweli mwanamke kaumbwa kutunzwa.

NB: Sasa mkijua haya sio ndio mvuruge sasa. Mtu akuhudumie halafu ukatoe papuchi kwingine!

Kwa huku kwetu bado sana, tunahitaji kwenda taratibu
 
Kwani wewe unaye mwanamke umayemfanyia hayo yote alafu akatulia? Kwa mtazamo wangu, siyo wanawake wote ambao ukiwafanyia hayo yote ya kissing, kusifia na kufungua milango wataona unawapenda au kuwajali au kuwa waaminifu Kwa mwanaume. Wanawake wengine hata uwape ndege ni bure tu..ataeanda gawa papuchi kwa mtu fulani.
Ndiyo tunatakiwa Ku treat mwanamke kama chombo dhaifu au heshima zote unazozijua wewe, lakini haina maana atakuwa mwaminifu kwako.
Divorce rate za wazungu unao wasifia ziko juu kuliko za waafrika. Wenzetu wazungu mwanamke ndiye mwenye power kisheria. Mume ukileta ujinga mke anauwezo wa kukufukuza kisheria katika nyumba na hiyo kesi hutoshinda.

Emanuel Aboue aliyekuwa mchezaji wa Arsenal katimuliwa na mke wake hivi karibuni kama mbwa. Mali na pesa zote amechukua mke wa kizungu. Pia, haruhusiwi kuona watoto. Emmanuel kabakia analia na akilala chini katika nyumba ya rafiki yake. Wazungu hizo kisses zao zinaweza kukutokea puani ukujuta kama Emmanuel.
Andiko lako limenigusa mkuu...kiukwel umakin inabid uwepo,
.nadhan huu upendo bas bora nimpe mama angu tuu walah.
 
Back
Top Bottom