Naombeni ushauri kuhusu huyu X wangu

Naombeni ushauri kuhusu huyu X wangu

Duduke

Senior Member
Joined
Jul 12, 2020
Posts
112
Reaction score
104
Tuna mwaka sasa hatuna mawasiliano mazuri yani kila mtu anaendesha life lake, nikijikeep busy ananitafuta message zake sasa oh nimekumiss mara nilitaka uje huku mkoani ninakoishi maana tunaishi mikoa tofuti. Tutafululiza kuchati chati siku mbili badaye anakaa kimya hata hakutext muda wote umtext, ukimpotezea wiki mbili uyo anaibuka.

Anakuwa na hamu na wewe mkichati chati anakuwa kama anakupotezea ukikaa kimya tena bila kumtafuta ataanza mbona upo kimya sana nimekumiss.

Jamani nifanyeje tuna mtoto mmoja? Hii tabia yake inanichosha saizi anaonesha kama anakuhitaji baadaye ana loose hope ivyo ivyo, hapa nitajikalia zangu kimya nampa wiki 2 tu ataibuka tena kunitafuta na kunipigia. Nisipopokea anakuwa mkali kwanini sipokei simu zake na kwanini sijibu text utakuta ananikalipia kabisa as if tupo kwenye mahusiano. Mara aniulize unamchumba na nikimpost tu mwanaume lazima aniulize uyo nani ili life mbona naliona gumu jamani!
 
Life will get better. .....it's just a phase unapitia kuna muda ukifika hatakuumiza kichwa
 
kishakuona dhaifu anakufokeaje hata posa hajatoa?? na wewe anakuchatisha chatisha unajibu anakuona bado unacheza kwenye mdundo wake mamy kuzaa nayeisiwe kigezo cha kukushusha thamani fanya mambo yako au bado anaishi kumoyo??
 
Mpe hela!

MHUBIRI 10:19

Fedha huleta jawabu la mambo yote.
 
Back
Top Bottom